mkuu unaumia watu kuwa introvert..?Mnajipa labels za kijinga na kuona sifa. Kila mtu siku hizi ni introvert. Mna upumbavu endelevu.
Binadamu yeyote anaweza badilika tokana na mazingira.
Anaweza kuwa mpole au mchangamfu.
Kuwa katili au na huruma.
Kuwa boring au mcheshi.
Etc etc.
Hizi ni traits na binadamu yeyote yule wa kawaida has nothing to do with those stupid labels ili kujiona special. Mna upumbavu endelevu nyie vitoto.
Nilikuwa natafuta hii comment basi nimeipata 😂Huyu ni mm asilimia 100 na tuna akili balaa mno halaf we overthink na mara nying tunavoviwaza muda mrefu huwa vya kweli sana...hata kuongea sana na simu hatupend unaweza kupiga simu nikaiangalia nisipokee na txt nisijib nikajib afta wiki moja 🤣🤣
Wewe si tapeli 😂 lazima uwe ivoooSometimes, ila mimi ni mtu wa watu. Dk 5 zina tosha kupata washkaji ugenini
Waleykum Salam, mi mshamba wa nanjilinji 😂🤣Wewe si tapeli 😂 lazima uwe ivooo
Wewe ni kama yule jamaa Dude ... Mjanja wa Dar
Samaleko 🤣
🤣🤣🤣🤣 Nanjili kimakoo unapajua?Waleykum Salam, mi mshamba wa nanjilinji 😂🤣
Nanjilinji ya keyboard mzee🤣😁🤣🤣🤣🤣 Nanjili kimakoo unapajua?
Kwanza hiyo kimakoo nimeitunga tu mwenyewe sijui hata Nini 😂Nanjilinji ya keyboard mzee🤣😁
Ndio maana nime kwambia hiyo haipo😁🤣Kwanza hiyo kimakoo nimeitunga tu mwenyewe sijui hata Nini 😂
Nilikuwa nakuleta kwenye target na umeingia 😂 ... Ipo hiyo sehemu kama unabisha weka elfu kumiNdio maana nime kwambia hiyo haipo😁🤣
Ndo maisha Gani haya mkuuUkiishi maisha ya kiroho unaweza
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxNilikuwa nakuleta kwenye target na umeingia 😂 ... Ipo hiyo sehemu kama unabisha weka elfu kumi
Mshangazi dot com ndo anakaa huko, serious
mbona mimi hata nikinywa bado nabaki introvert labda nichangamke kwa kuchat mtandaoni,Ukitumia pombe kidogo kidogo inasaidia kuondoa na kutibu na ku unlock 🔓 hizo codes za kua introvert hatare Sanaa.
Nani kakuumiza Bro.Mnajipa labels za kijinga na kuona sifa. Kila mtu siku hizi ni introvert. Mna upumbavu endelevu.
Binadamu yeyote anaweza badilika tokana na mazingira.
Anaweza kuwa mpole au mchangamfu.
Kuwa katili au na huruma.
Kuwa boring au mcheshi.
Etc etc.
Hizi ni traits na binadamu yeyote yule wa kawaida has nothing to do with those stupid labels ili kujiona special. Mna upumbavu endelevu nyie vitoto.
Ahahahhahahahahhahahaha sijasoma hiibila kusahau ndo mnaongoza kwa kupiga puri na kununua madada powa kwa wale wa kiume
Nimeshindwa kuvumilia maana ni kama koteee unanisema mimi😂😂😂😂hii situation uliyoisema hapa ilinitokea mimi kuna siku niko mtaa fulani mbali kidogo na nyumbani na rafiki yangu yaani tulikuwa tunapiga story basi nacheka namsimulia mfano kwa vitendo akapita mpangaji wa nyumbani akanikuta katikati ya ule mfano akasimama akaniambia ni wewe huyu kweli,mpaka akaenda kuwasimulia wenzake home sababu waliwahi muuliza mama yangu hivi mwanao anaongea kweli.Comments nyingine nimeambiwa na ndugu zangu wa karibu kaabisaaaNi introvert na ndio maana unachachuka mbele ya unaowajua!, huwezi kufanya hivyo kwa ambao hujawazoea!.
umaweza kucharuka mpk akija ambae hajakuzoea anamvuta rafiki yako pembeni anamuuliza "Mh! huyu ndo fulani..?"🤣
Mwanao ni introvert pro maxKuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie