Kupanda kwa bei ya mafuta kuhusishwa na vita vya Urusi - Ukraine

evander emauel

New Member
Mar 29, 2021
1
0
KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA KUHUSISHWA NA VITA VYA RUSSIA –UKRAINE

Changamoto ya kupanda kwa bei ya mafuta kwa soko la dunia na Tanzania pia imezidi kupanda na kepelekea vitu kupanda bei kwa kasi ya vitu. Bei ya Tanzania saivi ni shilingi 3829/= kwa mafuta ya petrol.

Akiba ya mafuta kwa Tanzania mpaka jana ilikuwa ni

Aina ya mafuta siku
PETROL30
DISEL28
JET A131
MAFUTA YA TAA33
Hii ni yofauti sana ukilinganisha nan chi zilizoendelea kama marekani (USA) inaaakiba ya mafuta kwa miaka takribani 50 ijayo kama uzalishaji wa mafuta utayumba. Yaani marekani inamaghala ya kuhifadhia mafuta kwa miaka 50 ijayo wakati Tanzania ni kwa mwezi mmoja t undo akiba yetu ya mafuta. Na kwa mwaka tumekuwa tukitumia mpaka trillion 7 kwenye matumizi y mafuta.

Tanzannia tunabandari 3 zinazotumika kuigiza mafuta nchini tofauti na land-locked country kama Zambia na Congo DR. Bandari ya Dar es salaam, bandari ya Mtwara na banadari ya Tanga Zenye uwezo wa kuingiza meli mpaka tani elfu arobaini na tano kulinganisha na upande wa kiggamboni yenye uwezo wa kungiz meli yenyeuwezo wa tani elfu nane.

Uagizaji wa mafuta kwa Tanzania

Kwa Tanzani kwa miaka kumi sasa kutokea mmwaka 2009 tumekuwa tukiagiza mafuta kwa pamoja yaani bulk procurement hii ni kwasababu ya kuppata mafuta yenye ubora na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta kwa muda wote uagizaji huo umefanya magari ya watu kuzidi kuimarika tofauti na zamani magari yalikuwa yakiaribika yakitemebea Dar na chalinze yanaaribika kutokana na mafuta kuwa mabovu.

KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA

Bei ya mafuta kwenye soko la dunia kwa pipa imekuwa ikipanda kufikia dola 100-105 kwaa pipa kutoka kwenye dola 70-75 kwa pipa hii ni kutokana sababu ya vita vya UKRAINE kupelekea soko la mafuta inchini URUSI kufungwa amabapo URUSI ni nchi ya pili kwa uchimbaji wa mafuta duniani.

Tanzania hatuna historia ya kuagiza mafuta urusi. Tumekuwa tukiagiza Gulg of Arabs, India na baadhi ya nchi, iweje mafuta kupanda? Baada ya soko la mafuta nchini URUSI kufungwa wateje wote waliokuwa wananunua urusi wamehamia wanaponunua Tanzania kwa nadhari ya uchumi wateja wanapokuwa wengi wakati uzalishaji wa bidhaa upo pale pale inapelekea bei kupanda.

SULUHISHO


  • Tumekuwa tunazalisha gesi tangia gesi igundulike mtwara hivyo basi kuiomba serikali ipunguze kodi katika vifaa vya gesi ili kuwezessha mtu kubadili gari yake kutoka mfumo wa gari la kawaida kwenda kwenye mfumo wa gesi mana saivi kubadili gari la kawaida kwenda kwenye gesi linagharimu mpaka milioni mbili kwa gari amabyo ni pesa nyingi kwahio niiombe serikali ipunguze kodi katika vifaa ivo japokuwa gesi imekuwa ikizalishwa kwa kiwango kidogo bila ufanisi kwa kutosha.
  • Kuwa na busket fund. hii ni kuwa na akiba ya maghala ya serikali ya dharura ya kutosha endapo bei ya huduma na bidhaa ipkipanda dunia serikali inafungua maghala yake ili kufanya price stability ya mafuta. Ghii tuliona kipindi cha njaa ilipotokea Tanzania ilifungua maghala yake. Serikali yetu inayo maghala japokuwa siyo ya kutosha lakini mafuta yaliokuwa humo siyo ya serikali kwaio serikali ijenge maghala ya kutosha na kuwa na mafuta yake yenyewe kwa dharura kama inayotokea saivi.
  • Kuruhusu uagizajia wa mafuta kwa mtu mmoja mmoja. Kama tunazo taasisi za kupima na kudhibiti ubora wa bidhaa kama tulivoona juzi meli ilikuwa imebeba vyumba kumi vya mafuta machafu katika ya vyumba mia moja hayakupokelewa vyombo ivo pia ni vizuri viruhusiwe kufanya kazi vizuri endapo mtu mmoja mmoja aruhusiwe kuagiza mafuta na awe na mkataba wa muda mrefu ili kuwa na uhakika wa upatikanaji wa mafuta.
  • Kutoa zabuni ya muda mrefu takribani mwaka mzima kwa mtru atakaepewa tenda ya kuagiza mafuta tofauti na sasa mtu anapewa mwezi mmoja na anakuwa akipewa miezi miwili mbele.
  • Kuagiza mafuta nchini RUSIA. Nchi yetu ni nchi huru na isiyofunggamana na upande wowote. Mafuta kwenye soko la dunia kwa pipa kama nilivosema awali ni dola 100 mpaka dola 105 kwa pipa mpaka kufika bongo lakini tukiagiza mafuta RUSIA inagharimu dola 80 mpaka dola 85 pamoja na umbali kuwa mrefu tukizunguka suez canal mppaka kuja Tanzania.
Evander the great
0622981350
Content analysis
 
Back
Top Bottom