Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

hoja ya kifo cha baba yake Obama umeileta wewe hapa ingawa bado haionekani kama inahusiana vipi na kinachoendelea hapa. Kwa vile mpaka sasa hujaleta uthibitisho wa habari ya Ballali, nitakuhesabu wewe kama fisadi, mzushi, na mshirikina.

Uthibitisho muulize huyo uliye MPA na unayetaka KUMPA 2010 ili aendelee kukusafisha vizuri zaidi!
 
Hivi ndugu yangu Philemon...Unafikiri Historia ikiandikwa upya Tanzania yetu haita muenzi Kambona kwa namna moja ama nyingine?
Nani asiyekumbuka tulivyokuwa tukiimba kuwa ameolewa huko Uingereza...Sasa si afadhali yeye kuolewa kuliko huu uchangudoa wa hawa Viongozi wetu wa sasa?!

Ona unavyojichanganya, mara Kikwete ni fisadi, mara mambo ya Obama, mara zitto ni fisadi, mara kina FMES ni mafisadi mara unasema sio mafisadi, mara baba yake Obama aliuwawa wakati wa Kenyatta, na sasa umeanza mambo ya Kambona.

Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku. Haya yote ulijitakia mwenyewe kwa kuleta ushirikina, udaku, uzushi, na majungu hapa JF.
 
Nimeipata copy ya debate kati yako na Jasusi na nimekuwekea link hapa. Hayo matusi ya nguoni uliyotukanwa na Jasusi yako wapi?

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13873&page=41

Originally Posted by Jasusi
As far as I know personal relationships are untouchable in JF. Stick to the issues you moron!
Mtusi yako hayatanitisha hata iweje!
Kama mnataka nifungieni!
Mpambano nitau hamishia kwingine!
Na hii ni mara ya mwisho...Sitavumilia matusi!
Nitajibu mapigo!
Hapa si tulishaambiwa ni kijiweni?
Sasa nini unaanza jazba?
Hizi kashfa zilikuwa personal before lakini siyo sasa!
 
Jamani tuzungumzieni Taifa letu!Come down Jmushi!vipi tena mbona unasahau kukata issue?
 
Jamani tuzungumzieni Taifa letu!Come down Jmushi!vipi tena mbona unasahau kukata issue?

Ameishiwa huyu anaanza kuzunguka kote kuanzia kwa obama na sasa ameanza kuongelea Kambona.
 
Ameishiwa huyu anaanza kuzunguka kote kuanzia kwa obama na sasa ameanza kuongelea Kambona.
Masaka wewe ndo unamchanganya!unamkumbusha yaliyopita ya nini sasa?si muendelee na wakati uliopo na ujao jamani?
Asante.
Hollo
 
Masaka wewe ndo unamchanganya!unamkumbusha yaliyopita ya nini sasa?si muendelee na wakati uliopo na ujao jamani?
Asante.
Hollo

Anahitaji shule kidogo maana amezidi kujichanganya huyu. hajua anachotaka ila maneno kibao na longolongo kibao kuwa Kikwete fisadi kumbe yeye ndiye fisadi wa kupindukia kwa udaku na uzushi.
 
isayamwita
user_offline.gif

JF Senior Expert Member
Join Date: Sun Mar 2008
Posts: 315
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Thanks: 3
Thanked 53 Times in 42 Posts
Credits: 11,020

icon1.gif
Re: Ninazikataa rasmi habari za kifo cha Ballali !
Nawashangaa sana wadogo zangu.

Mnataka tuamini balali kafa, sawa amekufa,

Ila mbona mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha?

Mmemfukuza jmushi1 kwa matusi, eti kwa kuwa anatujuza

Nimegundua ninyi mnaotetea kuwa baba yetu kafa mnalo la ziada.

Mkutane na mkono wa bwana wetu.

Ukimaliza kucopy na kupaste posts za watu, urudi na jibu la ulikofikia kuhusu kifo cha Ballali na hayo unayoita matusi hapa jamvini.
 
Anahitaji shule kidogo maana amezidi kujichanganya huyu. hajua anachotaka ila maneno kibao na longolongo kibao kuwa Kikwete fisadi kumbe yeye ndiye fisadi wa kupindukia kwa udaku na uzushi.
Haya endeleeni Bwana!
 
Ukimaliza kucopy na kupaste posts za watu, urudi na jibu la ulikofikia kuhusu kifo cha Ballali na hayo unayoita matusi hapa jamvini.

Wewe ndio nasikia ni kinara wa CCM uliyekuwa ukileta mbwembwe..Kumbe kazi yako ni kubwabwaja ukifikiri kuwa tunaagalia kima usoni!
Umekosea!
 
Wewe ndio nasikia ni kinara wa CCM uliyekuwa ukileta mbwembwe..Kumbe kazi yako ni kubwabwaja ukifikiri kuwa tunaagalia kima usoni!
Umekosea!

Ulicholeta ni nini? Habari za Obama, Kenyata, Kambona? je umefikia wapi kwenye contacts zako na FBI kuhusu kifo cha Ballali?
 
maskini tanzania yangu.... watu sasa wamehamisha topic muhimu ameiacha sasa ni vita ya watu binafsi, kwa mimi MAFISADI yasitufunge magoli ya kisigino kwa mtindo huu
 
mimi nitamsubiria akimaliza kucopy na kupaste posts za watu ili nimfunue ufisadi wake.

Huwezi kuharibu hoja kuwa Kikwete ni FISADI...Ameshaharibu wapinzani wengine kama alivyofanya MKAPA!
Na wewe ni NYAPARA TU Kwasababu ni mtumwa mwenye ngazi ya juu kwenye kifungo cha kifikra kilichopelekea UTUMWA WA AKILI NA ndio maana UKAMPA Mwanamme mwenzako!
Na sasa unataka tena umpe 2010...We shoga kaa kando!
 
Umetoka kuweka malamiko yako kuwa umetukanwa na naona sasa wewe ndio unatumia lugha nzuri hapa jamvini. Tofauti ya hiki na alichosema Jasusi ambacho wewe unalalamikia ni kipi?
 
kina KItila, Luyungu, Field mkowapi okoeni jahazi jamani..... invisible........ maana nzima na lengo la JF inapotea naona
 
Mkapa alifanya ufisadi kwa sababu ya wimbi la ulevi?
Hivi unajua ni kwanini hata Kibaki anamwogopa vibaya sana?
Kwanini hata Kikwete mwenyewe na kina Andrew Young na kina Sinclair hawataki ashinde?
Hivi hujui kuwa nyakati zile za zamani ulikuwa ukitoka kusoma nje ya nchi halafu una mawazo ya tofauti ya kuwatetea wanyonge unauwawa?
Unajua ni mara ngapi serikali hizo zilishirikiana kwenye hili la kuwadhibiti watu wenye mawazo ya tofauti?

....NAKUBALIANA NA WEWE JAMBO MOJA ...MIAKA YA MWANZO YA UHURU AFRIKA ..VIJANA WALIOKUWA WAKITOKA MAREKANI KUSOMA WALIKUWA WAKIOGOPWA SANA....HASA KUTOKANA NA WIMBI LA CIA ...KUWATUMIA KUANGUSHA SERIKALI ....AU HAWA VIJANA WALIKUWA NA MUAMKO NA UFAHAMU MKUBWA AMBAO ULIKUWA TISHIO KWA MAMLAKA .....HATA HAPA TANZANIA MIFANO IPO MINGI YA VIJANA WALIORUDI BAADA YA UHURU WALIVYOKUWA SILENCED NA MWALIMU.....TENA HASA KAMA AKIWA NA MKE MZUNGU WALIOGOPWA ZAIDI......kuna ndugu yangu yeye alirudi na TUNTEMEKE SANGA wote wakiwa na wanawake wa kizungu....ndugu yangu akiwa na black american..enzi hizo ukirudi na masters unaweza kupewa audience na rais.....wote hawa waliwekwa home detention kwa kuhofiwa ni CIA......

LAKINI HATA HIVYO KUHUSIANA NA issue ya OBAMA sr....ilikuwa tofauti..pamoja na kuwa na akili sana sana ...jambo lililowavutia hata wakwe zake ....babu wa obama kwa mama....ulevi uliendelea kuwa tatizo lake kubwa ....na sidhani kama angeweza kuwa tishio kwa kenyatta kiasi cha kuuwawa....ALIGONGWA NA GARI AKITOKEA KWENYE POMBE....lakini pia labda na mimi nikuambie kuwa huyu ndugu yangu aliyerudi na tuntemeke sanga naye ALIKUJA KUWA FRUSTRATED BAADA YA KUNYIMWA KAZI STAHILI NA SERIKALI ILIYOPELEKEA KUJIINGIZA KWENYE ULEVI....NAYE ALIKUJA KUFA KWA COMPLICATION YA ALCOHOLISM.........so pia inawezekana kulikuwa na kitu kama frustration kwa watu wa aina hii....and they were over AMBITIOUS..!!!
 
Ulicholeta ni nini? Habari za Obama, Kenyata, Kambona? je umefikia wapi kwenye contacts zako na FBI kuhusu kifo cha Ballali?
Nimeshakwambia ACHA USHOGA!
ONDOA HIYO KAULI YAKO YA "KUMPA KIKWETE"
Ulishampa 2006 bado umenogewa tu?!
 
Back
Top Bottom