macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,176
- 60,008
Mtanzania,
Kama kweli sisi wengine hatuamini hizo imani za kichawi... sidhani kama tuna haja kweli ya kwenda mahakamani/polisi etc...
Dawa ya hili jambo kwa maoni yangu ilikuwa rahisi sana!!! ni kulipuuza ili nasisi wengine (wananchi, wabunge na serikali) tusionekane ni wapagani kama huyo muhusika....
Lakini hili lilitakiwa kufanyika mara moja... kuchukua content/footage za CCTV cameras za Bunge... na kuwapa vituo vya runinga/television nchini... vitangaze kama ilivyo pia kusema lolote...
Wao waseme tu haya ndio yaliyojiri Bungeni... simple....
Hatuna haja hata ya kumpa adhabu huyu mtuhumiwa,,, hata hatuna haja hata ya kumtaja jina!!! wananchi wenyewe waone... na wananchi wenyewe waamue what to be done...
Simple... we don't need to complicate vitu vya kijinga kiasi hiki... and spend a lot of resources ati kuchunguza,,,, kwa usalama wa taifa una uwezo wa kuchunguza uchawi/sangoma?
Ndugu yangu umesema PRC Dodoma, una hakika kama kweli wana uwezo wa kweli kufanya kazi hii? una uhakika kama kweli uchunguzi wao ulikuwa free bila kuwa na influence yoyote. I am sure hata kilichonyunyizwa inawezekana hawakijui. Huenda hata hawakuwa na lab technician hata mmoja!
Samahani kwa kutoka kidogo, now more dataz kutoka Dodoma ni kwamba:-
...5. Toka kikako kianza asubuhi kumekuwa na kurushiana mawe na vijembe huku ikiwa inaonekana wazi kuwa sasa kuna makundi mawili makuwa ya wabunge, moja ni lile linalotaka mabadiliko na kuwakomboa wananchi na kusafisha ufisadi, na kuna kundi la pili ambalo ukweli ni kwamba lina nguvu kubwa sana hasa za ki-financial ambalo nalo linaonekana kuwa limepania sana kusimamia agenda moja tu, nayo ni kutaka wapewe nafasi ya kutuibia wananchi as they wish bila kubughudhiwa na wananchi wala sheria, na kundi hili linaonekana kuwa very serious na nia yao, na cha ajabu zaidi ya yote ni ile dalili zote kuonyesha kuwa Mkapa naye yuko nao kwa jinsi alivyokuwa akitabasabu sana watu wa kundi hili lenye nia mbaya na taifa wanapopewa nafasi ya kuongea!...
Naona sasa nilipue:
...Kuna mtu nimezungumza naye ninamuamini asilimia 100, na akisoma JF atanijua ni mimi lakini sasa naamua kumwaga mchele mazungumzo yetu na yeye kuhusu tukio hilo.
Huyo jamaa alikuwapo Dodoma kwa dharura Jumanne wiki hii na kurejea Dar Alhamisi Asubuhi, nikahisi safari yake ina uhusiano na tukio husika nikambana anieleze kilichotokea huko Dodoma na maelezo yake leo hii yalikua kama ifuatavyo:
"Nilikutana na Katibu wa Bunge, Tom Kashilila usiku wa Jumatano, muda mfupi baada ya kukutana na Kaimu Mkuu wa Usalama wa Bunge, aitwaye Magati. Magati alishituka kuona kwamba hakuwa amejulishwa na wakubwa zake kuhusu kitendo cha Chenge kudaiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge. Akiwa Mkuu wa USalama, alipaswa kujua kila kitu. Alichanganyikiwa na kuingia kazini usiku huo. Kwa upande wake, Katibu wa Bunge alisema wanafanya uchunguzi wa kina kuhusiana na suala hilo kwani kwa uzoefu wake wa kimataifa, upo uwezekano wa kuwapo vitu hatari. Aliahidi kutoa taarifa kadiri zitakavyopatikana. Baadaye usiku wa manane akanitumia sms kusema kwamba wametoka kukagua kamera za usalama wameshindwa kuona kitu na kwamba siku itakayofuata wataendelea na kuzipitia tena. Baadaye akaja na maelezo kwamba wameshindwa kuthibitisha lolote kwa kuwa kamera zao zilikua zimezimwa. Alipoulizwa kama wamewahoji Chenge na Sagasii akasema hatuwezi kuwahoji kwa kuwa hakuna ushahidi. Ajabu mashahidi muhimu/wahusika unakataa kuwahoji wakati wao ndio wanatakiwa kuanza kuhojiwa. Baadaye Katibu akaongea na mwandishi wa habari akamwambia kwamba wao kamera zao zinakuwa wazi 24hrs lakini wamekagua hawakupata ushahidi wowote. Sagasii anaulizwa na waandishi anasema hajui lolote kwa kuwa hajaarifiwa wala kuulizwa na yeyote. Watu wa STAR TV wanashangaa wao walikuwapo juu wakati huo wakiandaa vifaa vyao kwa ajili ya Jumanne Oktoba 10 lakini hadi leo hawajaulizwa na yeyote. Huku kuna taarifa polisi na usalama wanafanyia kazi mara wamemhoji Chenge, sasa which is which?" MWISHO WA KUNUKUU NA ATANISAMEHE ALIYETAMKA MANENO HAYA MAANA NAONA NI MUHIMU WATU WAJUE NINI KINACHOENDELEA. Naamini akisoma atajua ni mimi kama hatosoma ataulizwa na wahusika ambao amezungumza ama kufanya nao kazi. ATANISAMEHE KWA MASLAHI YA TAIFA
Samahani kwa kutoka kidogo, now more dataz kutoka Dodoma ni kwamba:-
1. Katika kile kilicho onekana kuwashitua wajumbe wote wa mkutano huo wa siri, Rostam alianza hotuba yake kwa kumfagilia sana Mkapa, kuwa alifanya kazi nzuri na nzito sana kwa taifa hili na aliliacha taifa hili likiwa na utajiri mwingi na mapesa mengi sana katika akiba zake, na kwamba wale wote wanaomshambulia ni wajinga na wasiokuwa na elimu ya kutosha kuhusu hili taifa.
2. Kwa kawaida Rostam anapotoa hotuba za siasa kama hii huanza na kumsifia rais wa sasa, lakini on this one it was not the case, na alipomaliza hotuba yake, wajumbe wote walionekana kuwa na mshangao mkubwa, na Rostam aliiishia kupigiwa makofi na wajumbe kama sita akiwemo Almeir, na Makamba.
3. Muda wote huu rais yaani Mwenyekiti wa CCM, alikuwa akimuangalia huyu mkulu kwa dharau na tabasamu la mamba, na mara baada ya kumalizika kwa hotuba hiyo ya Rostam, rais aliamua kuingilia na kutoa comment ndogo ya kejeli kuwa ".....Rostam you are very intelligent man ndio maana hata ukapewa nafasi ya kuzungumza kwanza....".
4. Wabunge wa CCM, waliokuwa wamepigwa na mshangao mkubwa wa haya yote, wakaomba mkutano uahirishwe hadi leo asubuhi kwa sababu walitaka kupewa nafasi ya kutafakari kwanza yaliyojiri, na leo asubuhi sana kikako kimeanza tena, lakini thia time kwa kishindo kikubwa cha Mbunge Ole Sendeka, kuanza kuongea kwanza, ndio maana tunasema Mungu amrudishe haraka sana kwenye hiki kikao Shujaa Mwakyembe!
5. Toka kikako kianza asubuhi kumekuwa na kurushiana mawe na vijembe huku ikiwa inaonekana wazi kuwa sasa kuna makundi mawili makuwa ya wabunge, moja ni lile linalotaka mabadiliko na kuwakomboa wananchi na kusafisha ufisadi, na kuna kundi la pili ambalo ukweli ni kwamba lina nguvu kubwa sana hasa za ki-financial ambalo nalo linaonekana kuwa limepania sana kusimamia agenda moja tu, nayo ni kutaka wapewe nafasi ya kutuibia wananchi as they wish bila kubughudhiwa na wananchi wala sheria, na kundi hili linaonekana kuwa very serious na nia yao, na cha ajabu zaidi ya yote ni ile dalili zote kuonyesha kuwa Mkapa naye yuko nao kwa jinsi alivyokuwa akitabasabu sana watu wa kundi hili lenye nia mbaya na taifa wanapopewa nafasi ya kuongea!
Wakuuu ahsanteni sana, so far tumeweza ku-monitor dataz mpaka kufikia hapa, sasa wajumbe wako break na hakuna uhakika kama watarudi tena kwenye kikako, lakini mengi zaidi tutaendelea kuhabarishana as soon as tukiyapata, lakini dataz mpya zaidi itakuwa ni kesho!
JF mbele always, one step ahead, straight ahead .....na kumkoma nyani mchana! Oooh I Love it!
Ahsante Wakuu!

Nime futa safari yangu mbali na sasa natudi Tanzania baada ya kusoma habari hii naona kama Taifa liko njia panda
Lunyungu,
Maneno haya kweli au ndio ktk kamba!..

Na sie wenye imani za kiafrika tutaweza kuukemea uchawi kwa jina gani?
Naona mwenzangu wewe mwenye dini ya kizungu umemtumia mnazareti......
..kuhusu Kuwa Uchumi Na Reserve Wakati Wa Mkapa Ulikuwa Juu..hilo Halina Ubishi....ukiacha Hili Suala La Ufisadi..mkapa Perfomance Was Brilliant!!!
Asante sana kwa data, ila mimi siwaamini CCM, watajifanya wanagombana lakini lao moja tu. Dawa ya kukomesha ufisadi Tanzania ni kuwang'oa CCM kwanza, wakae nje, waone wenzao wanavyofanya changes za kweli kweli.
lakini ebu tupashe angalau kiduchu, Sendeka alilonga nini kiasi cha kuamsha mjadala mzito?
********Kwanza, Naamini hili suala linajadiliwa KINAFIKI. Naomba niishie hapo bila kufafanua lakini ujumbe umefika.
*********Pili nakumbuka wakati habari za yule mtoto (kijana) aliyekamatwa eti akinyonya damu ya kichwa cha mtu, nilikutana na mtu mmoja muhimu katika jamii, akaniambia maneno yafuatayo, "Waandishi wa Tanzania na Watanzania ni wepesi kuvurugwa mawazo. Hawashangai kuona polisi na vyombo vya habari vimekua vikishabikia hili suala la ushirikina? Hawajui kwamba nchi imegubikwa na wimbi la UFISADI ...
...wahusika wanaona hilo ni tishio na sasa badala ya kujadili mambo ya maana wanawatengeneze ajenda za kijinga ili musahau UFISADI japo kwa muda wapate kujipanga" kauli ya mzee huyo sasa naiona tena humu JF, mahali ambapo sasa mada nyingine zote muhimu zimepotea na mada hii inapata wachangiaji wengi tena kwa mwelekeo wa UCHAWI zaidi.
Mkuu Mtanzania, hakuna anayejua kwa hakika njia aliyotumia Chenge. Ndio maana uchunguzi lazima ufanyike kwanza. Wale waliokuwapo ukumbi wa Bunge (wa Star TV) hadi sasa hawajaitwa wala kuulizwa, Chenge na Sagasii wanaotajwa kuingia ndani hawajaulizwa na ofisi ya Bunge hadi sasa. Kuna contradiction statement kutoka ofisi ya Bunge....
Dah! kila wiki na skendeli jipya...
Richmond, EPA, Kiwira, Kifo cha Bro Ditto, Rama mla vichwa, Chenge na vijisenti, Kifo cha Balali, Mwakyembe augua ghafla, Uchawi Bungeni...what next?
...kama hii ni spin, nawavulia kofia spin doctors wa Tanzania, hali ikiendelea hivi hivi, wallahi wonder-wheel halitakalika tena hili!
...Hivi hata hao wabunge wanakumbuka wataongelea nini kweli, au kila mtu 'roho mkononi!'?
mwe!
mpaka Kizunguzungu wallah![/COLOR]