Mkuu kama upo kwenye asali hongera sana, ivyo vyote bila ya connection hupati ata utembee umevaa Bango unatafuta Ajira. Uko maofisi kumejaa ukiritimba mtupuTatizo ni moja, VIJANA wengi wanategemea TANGAZO lipostiwe Ndio waombe kitu ambacho si sahihi.
Kuna watu wanatembea na BAHASHA huku na kule wanaenda front kutafuta kazi, sio kwa NSSF tu fatilia MIFUKO yote ya BIMA au yenye mlengo huo uone kama wanatangaza NAFASI za Internship.
Maombi wanapokea ni Mengi individually hivyo wanayachakata kama nafasi ipo mtu anaitwa kuanza.
Usitegemee hata siku moja et wawaite watu kuomba Internship never, watu wenyewe ndio wanaomba.
Haiiingii akilini una request 1000 za Internship alafu utoe tangazo la kuomba watu waombe INTERNSHIP.
USHAURI kwa VIJANA waende FRONT waombe AJIRA/INTERNSHIP popote bila kusubiri TANGAZO wajanja ndio wanaijua hii mbinu wanaenda FRONT mapema na bahasaha zao.
Hiyo ni kwa ajili ya watoto wao na ndugu zao, NSSF Tanga baadhi ya waliojiriwa wanatamba kwamba hata usaili hawakufanya kwa sababu wazazi wao wako au walikuwa NSSF na wana kiburi balaa.Hii si sawa hata kidogo. Watoto wa watanzania wengine wasiofahamika nani atawaajiri. Hili sikubaliani nalo kuwepo na uwanja sawa wa ajira.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Bro, nimehustle kupata KAZI na niliandika hadi UZI humu wa kuomba KAZI.Mkuu kama upo kwenye asali hongera sana, ivyo vyote bila ya connection hupati ata utembee umevaa Bango unatafuta Ajira. Uko maofisi kumejaa ukiritimba mtupu
Eeh changamoto sasa tunayoengelea hapa ni namna ya kupata iyo internship, ata kujitolea pia nimtiti unaomba unakosa na sio kwamba jobless hawataki ishu ni namna izo chance wanavyozitoa toa yaan connection fullBro, nimehustle kupata KAZI na niliandika hadi UZI humu wa kuomba KAZI.
Kuna watu ukiwaambia fanyeni INTERNSHIP wanakuona unaenda kupoteza muda.
Faida ya hizi Internship ni kwamba TAASISI unaijua na wao wanakujua yaani nitumie maneno ya KITAALAMU.
KTK HR processing kuna kitu kinaitwa ORG CULTURE mtu ambae hafiti kwenye CULTURE huwezi kufanya nae kazi na mkafikia malengo.
Sasa tyr mna nguvu kazi ambayo imefikia malengo mliyowekeana, anaijua Taasisi, anajua kufanya kazi (No need of TRAINING/OJT) anafanya kazi vzr. Utakuwa ni upuuzi kumuacha huyu ukachukua mwingine huko nje.. Hii mimi siikubali.
Wa ndani apewe PRIORITY.
Jana hapa kuna Uzi ulipostiwa kuna Intern wa Hospital ya Kaskazin huko wanalia posho etc. Em vaa viatu vya hao Intern wanahangaika wanafanya kazi kubwa kwa posho ndogo leo hii zitoke nafas za kazi et wasipewe wao waajiriwe wengine. INAKUIJIA AKILINI? tukiweka UNAFKI na UBINAFSI Pembeni?
Tuulizane, nani humu kati ya hao wanaolalamika aliomba nafasi akakataliwa? Wengi ni WANAFKI tu.Eeh changamoto sasa tunayoengelea hapa ni namna ya kupata iyo internship, ata kujitolea pia nimtiti unaomba unakosa na sio kwamba jobless hawataki ishu ni namna izo chance wanavyozitoa toa yaan connection full
Nina ushahidi mkuu au unataka tukutumie barua za majibu tulizoomba internship na kujitolea ndo uamin auTuulizane, nani humu kati ya hao wanaolalamika aliomba nafasi akakataliwa? Wengi ni WANAFKI tu.
Narudi pale pale ukiona mtu analalamika hapa ujue HANUFAIKI na hilo zoezi kama angenufaika wala usingeskia kelele zake.
Watu 300+ jamani wote hao Connection? Hata ww unalionaje hilo swala.
Uliomba nafasi gani?Nina ushahidi mkuu au unataka tukutumie barua za majibu tulizoomba internship na kujitolea ndo uamin au
Taesa wanawafata Waajiri kuwaombea nafasi. Ndio nyie mnapelekwa yaani TAESA ni kama chawa anaelengesha PISI kali kwa BOSS.Sehemu pekee wanayotoa internship kihalali ni hawa TaESA, labda na baadhi ya taasisi ambazo wao wanaziadvertise watu wanaomba taratibu zinafwatwa, field zenyew saiv kuomba pia ni mchakato sembuse kujitolea
Tatizo lenu mnachagua ofisi, kama upo tayari njoo ujitolee kusikiliza kero za wanakijiji ofisi ya mtendaji kijiji hapa BuikoShida hujui kama hata kujitolea nayo inahitaji connection ni vigumu kupata nafasi ya kujitolea sehemu bila connection labda kama hiyo sehemu hawakupi chochote ndo maana tunataka fair competition
Izo izo mkuu tupe muongozo eeh namna ya kuingia hapo hakuna anae kataa ata izo kuna mdau analalamika za utendaji pia izo tupeni muongozo acheni kuponda na nyie, saiv namna mlivyoingia kizali zali uko Mtu akiomba kujitolea mnamnyima kwa hofu atakuzidi uwezo na uo ndo ukwelHivi nyie ni vichaa?
Kijana kajitolea miaka 2 then asipewe kipaumbele?
Hii hata barrick na acacia wanayo. Chance nyingi ni za internal.
Baada ya kushiba naona unaleta jeuri, ok Mfumo unabadilisha, mle mle mpenyeze watu wenu. Kila kitu kiwekwe wazi kanuni na taratibu za kazi zifuatwe kuna ugumu gani kupublish izo chances zinazotoka watu waombe?Taesa wanawafata Waajiri kuwaombea nafasi. Ndio nyie mnapelekwa yaani TAESA ni kama chawa anaelengesha PISI kali kwa BOSS.
Pia kuna Taasisi zina offer Internship/Ajira kwa njia ya HEAD HUNTING moja kwa moja vyuoni. wanafanya sana mashirika kama CRDB na mabenk mengine.
hata kwa TISS pia wanafanya head hunting. Why..?
Hawataki kubeba MIZOGA.
Mimi sio MNAFKI.Baada ya kushiba naona unaleta jeuri, ok Mfumo unabadilisha, mle mle mpenyeze watu wenu. Kila kitu kiwekwe wazi kanuni na taratibu za kazi zifuatwe kuna ugumu gani kupublish izo chances zinazotoka watu waombe?
Kwani ww ulipoomba hapo internal ulikuwa unajua au ndo baada ya kujua unaleta dharau zako....Mimi sio MNAFKI.
nimefanya kazi ktk International Organization na nilifanya INTERN ktk Taasisi kubwa tu ya serikali.
Nimeona changamoto na mapungufu ya recruitment processes. Siongelei kiushabiki hapa.
Ule ujinga wa kuomba mtu PSRS alafu anakuja mtu MWEUPE kichwani na kazi ni technical alafu INTERN ndio anamfundisha kazi huyo MWAJIRIWA mpya.
Hayo nimeyaona. Siwez kuongea sanaaa maana tyr AKILI zenu zimehamia TUMBONI hamfikirii Utendaji kazi mnafikiria namna ya kujikwamua kiuchumi. Ndio maana MASKINI wengi ni WEZI hata wakiajiriwa wanafkiria Kuiba na maendeleo ya haraka haraka. Nje ya kufikiria nijiboreshe vipi kiutalaam na ni vip nitaboresha maslahi ya Taasisi kwa ujumla.
Nakupa hii.
US Embassy recruitment yao inampaka REFERRAL yaan kama hakuna mtu anakujua pale UBALOZINI ww hutoboi. Unajua ni kwanin? Sina JIBU.
Umeongea umemaliza kaka,asiekuelewa aendelee ,kazi ni za kuzisaka jamani door to door yani mtu una relax ndani unataka kazi zitangazwe kwenye mtandao ndiyo uombe sawa ndiyo umeaminishwa hivyo ila nashauri vijana fanyeni door to door gonga dondosha bahasha omba kazi/ internshipBro, nimehustle kupata KAZI na niliandika hadi UZI humu wa kuomba KAZI.
Kuna watu ukiwaambia fanyeni INTERNSHIP wanakuona unaenda kupoteza muda.
Faida ya hizi Internship ni kwamba TAASISI unaijua na wao wanakujua yaani nitumie maneno ya KITAALAMU.
KTK HR processing kuna kitu kinaitwa ORG CULTURE mtu ambae hafiti kwenye CULTURE huwezi kufanya nae kazi na mkafikia malengo.
Sasa tyr mna nguvu kazi ambayo imefikia malengo mliyowekeana, anaijua Taasisi, anajua kufanya kazi (No need of TRAINING/OJT) anafanya kazi vzr. Utakuwa ni upuuzi kumuacha huyu ukachukua mwingine huko nje.. Hii mimi siikubali.
Wa ndani apewe PRIORITY.
Jana hapa kuna Uzi ulipostiwa kuna Intern wa Hospital ya Kaskazin huko wanalia posho etc. Em vaa viatu vya hao Intern wanahangaika wanafanya kazi kubwa kwa posho ndogo leo hii zitoke nafas za kazi et wasipewe wao waajiriwe wengine. INAKUIJIA AKILINI? tukiweka UNAFKI na UBINAFSI Pembeni?