Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

Kwa kweli Tumaini Makene haupo kwa wakati japo mitandao huko inaweza kuwa tabu ila nafikiri hata wengine wanatuma habari hizo wakiwa huko huko kwanini wewe usubiri kuja kusafisha uongo ambayo ni kazi sana??

Una uhakika kuwa hao wanatuma habari wakiwa huko? Tambua kuwa kinachofanya kazi hapo ni simu na picha inawezekana wanatumia watsap.
 
Ben atakuja mda si mrefu kuleta picha za mikutano ya 2010 na sifa kibao subirini kidogo.
 
Mkuu tatizo la kurugenzi ya habari wamepeana Tumaini Makene hana uwezo hata wa kumkaribia mohamed mtoi tatizo ni kupeana. Deo mwenyewe yupo vizuri. Chadema ni sikio la kufa.
Mohamedi Mtoi mara ya mwisho alipoulizia kupewa shavu akaambiwa awe mvumilivu.

Ndio maana siku hizi Mohamedi Mtoi amekata tamaa kujitolea kwa ajili ya chadema. Amevumilia vya kutosha lakini, wenzake wanakuja na kupewa shavu na yeye anabaki palepale.

Cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:

Nakumbuka mwaka 2007 nilimtahadharisha Zitto haya haya nnayomweleza Mohamedi Mtoi mara kwa mara.

Wenye chademaa hawana tofauti na mabaniani watakutumia mpaka uzeeke lakini hata siku moja hawatakupa fursa uonekane unajuwa zaidi yao.
 
Last edited by a moderator:
la kuchangaza wanachama wengi wa chadema, sasa hivi habari ni kombe la challenge na premium league. mambo ya chadema yakiulizwa tu wanakata kona vibaya sana.
 
la kuchangaza wanachama wengi wa chadema, sasa hivi habari ni kombe la challenge na premium league. mambo ya chadema yakiulizwa tu wanakata kona vibaya sana.

Hatuoni sababu ya kujibizana na mburura kama ninyi ndio mana tunawaacha mjijibu mburura kwa mburura aie tunawadharau mnavo jitolea kuwatetea wanao tafuna kodi zenu wenyewe huku nyie mkikazana kuwasaidia kwa malipo kiduchu.
 
Unadhani kwa haya yaliyowakuta Slaa kuvunjwa mkono mwingine ni madogo.Kwahiyo mnataka waandike. Mkutano umevunjika,Slaa anusurika aokolewa na jeshi la Polisi.

Hata kama ni mimi siwezi kuandika,Kurugenzi kaeni kimya tu maana aibu tuliyopata ni kubwa,Babu kaokolewa na vyombo vya Dola vinavyoongozaa na Chama cha Mapinduzi.
 
Bado wanazipika.

Wapiga kura wa Kigoma wamesema kwamba chadema ni mali ya wachaga, kwa mujibu wa hayo mabango hapo juu.

Nipo hapa namsikiliza Peter Tosh anaimba "you can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the times". Kazi kweli kweli.
 
Hatuoni sababu ya kujibizana na mburura kama ninyi ndio mana tunawaacha mjijibu mburura kwa mburura aie tunawadharau mnavo jitolea kuwatetea wanao tafuna kodi zenu wenyewe huku nyie mkikazana kuwasaidia kwa malipo kiduchu.

Kurugenzi imeshatoa rambi rambi zake?
 
Kuregenzi ya Habari haina cha kuandika.

Mkuu Ritz
Yaani hata kamanda Mohamedi Mtoi amekosa cha kuandika? mganga njaa Ben Saanane itabidi atafute shughuli ya kueleweka hao jamaa ni kama toilet paper wanaandika ili wapewe posho wale; sasa kama hali yenyewe ndio hiyo maisha bila kazi mjini itabidi tutafute namna ya kuwasaidia; kama wangu Mwita Maranya anawekeza kwenye kilimo cha msuba Manyara huyo kidogo afadhali tatizo ataharibu akili za makamanda wengi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Unadhani kwa haya yaliyowakuta Slaa kuvunjwa mkono mwingine ni madogo.Kwahiyo mnataka waandike. Mkutano umevunjika,Slaa anusurika aokolewa na jeshi la Polisi.

Hata kama ni mimi siwezi kuandika,Kurugenzi kaeni kimya tu maana aibu tuliyopata ni kubwa,Babu kaokolewa na vyombo vya Dola vinavyoongozaa na Chama cha Mapinduzi.

Headline mlizokua mmeandaa bado umezitumia
 
Kukumbushana ni jambo jema sana, ubarikiwe mzee wa Lumumba,

Lakini umeniharibia sana jioni yangu kwakuwaingiza Sixgates na Tuntemeke kwenye suala hili,

Hao sio wanawachadema bali ni wahaini wa chadema.
watu woote wahaini wewe na saanane tu ndio wema! siku mkijitambua tu basi na nyinyi mtaitwa wa haini na hao hao mabwana zenu, chezea sacos ya Mtei,
 
Back
Top Bottom