Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

Yericko ana mkakati maalum wa kuzima scandal ya Boss wake kwa kuonana na Nimrod,then akitoka hapo aende kwa Rostam,kinana na Sumaye
Anamshukuru sana zzk kwa kumjulisha wapi Boss anapiga madili yanayomwingizia fedha za kulipa vibaraka wake salary

Ameshindwa hata kabla hajauanza

Its too bad anaipenda chadema na family ya nyerere lakin kote huko hatakiwi na anapuuzwa vibaya sana
 
Si bure nyie mmepewa buku 7! Yenu yanawashinda huko ccm mnafuata ya chadema, mmeng'oa watu kuja, mmemaliza tembo wote, kila kitu mmejibinafshisha waiz wakubwa sn, unavyoongea hp si kila mtu anakusikiliza watakusikiliza wale wenzako mliopewa nao buku 7-7

Mbona umeumiasana???

wewe ni kurugenz ya habari??
 
Unajua wewe umevurugwa na hujitambui! Nakuuliza wakati wewe unatoa misimamo yako kuhusu gesi ya Mtwara nani alikuwa amekutuma kuwasemea wana mtwara? Chuki zako kwa watu zisikufanye ushindwe kujitambua! Inaonekana akina Yericko ba Ben wamekuacha(wamektelekeza) sasa huna mtu wa kukupa matumizi ya watoto! Be open mumy!
 
Mkuu achana na hili tapeli la gesi limevimbiwa kashata
 
Mkuu achana na hili tapeli la gesi limevimbiwa kashata

Baada ya kuachwa na akina Yericko na Ben alitegemea bwana mpya Zitto! chezea mobile money wewe! ref. zilivyokuwa zinamwagwa kwa akina shonza! sasa bi Bigshow anaona bwana wake kaguswa na ni hatari kwa maisha yake!
 
Hii kazi si apewe Yericko Nyerere.. ingawa anaongoza kwa propaganda na kutia chumvi kwenye threads zake lakini nadhani anaonyesha namna gani alivyo mzuri kwenye kuripoti matukio ya live.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom