THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Ni kweli mkuu hiki chama kilishakufa hii ni kutokana na matendo yao ya kishetani.
Cha kushangaza zaid,wanatafuta mchawi ili hali mchawi ni wao wenywe??
Ni kweli mkuu hiki chama kilishakufa hii ni kutokana na matendo yao ya kishetani.
Kuna kinda lingine linaitwa Ben Saanane.Umemsahau na kile kifaranga kingine kinaitwa MUNGI
Wewe tapeli la gesi!!!!! Umepata kibarua cha kuzamisha mambo ya gesi?Cha kushangaza zaid,wanatafuta mchawi ili hali mchawi ni wao wenywe??
Pole sana Mkuu. Tapeli ni Mbowe ambaye anamtapeli mpaka mke wakeWewe tapeli la gesi!!!!! Umepata kibarua cha kuzamisha mambo ya gesi?
Halafu mtifuano wa CCM ni nani nani?Nilichokiona kwa chadema ni vita ya madaraka. Wakati kwa nafasi ya mwenyekiti mtifuano huo ni kati ya Zitto Kabwe na Freeman Mbowe, nafasi ya Katibu Mkuu yupo Dr Slaa na John Mnyika huku nafasi ya msemaji ndo wanajitokeza hawa makinda wawili, Ben Saanane na Yeriko Nyerere ambao wananyemelea nafasi ya Tumaini Makene
Wewe ni mjinga na --------. Suala la gesi lina uhusiano gani na uzi huu?Hili tapeli la gesi lilikuwa linafikiri litatumia udini kuzuia gesi isifike DSM kiambie kile kigagula chenu kiibadilishe iwe maji tuone. Halafu lile gaidi shekhe ponda lipo wapi?
Kwahiyo amekuaoa wewe?Pole sana Mkuu. Tapeli ni Mbowe ambaye anamtapeli mpaka mke wake
CCM hatuna historia ya mitifuano ya kijinga kama inayotokea kwa CHADEMA. Kama una mifano itoeHalafu mtifuano wa CCM ni nani nani?
Kwasababu hii thread imeletwa na Tapeli la gesiWewe ni mjinga na --------. Suala la gesi lina uhusiano gani na uzi huu?
Wewe unaweweseka tu. huna hoja umebaki kutapatapa tuKwahiyo amekuaoa wewe?
Hamna historia ya kuwajibishana ndio maanaCCM hatuna historia ya mitifuano ya kijinga kama inayotokea kwa CHADEMA. Kama una mifano itoe
Pole sana. Kama ndo unatafuta chai si kwa stail hiiKwasababu hii thread imeletwa na Tapeli la gesi
kama wewe unaye force ndoa kwa Mbowe na Dr slaa?Wewe unaweweseka tu. huna hoja umebaki kutapatapa tu
Wewe utakuwa umechanganyikiwa. Nimekuambia utoe mifano ya mitifuano kama inayotokea chadema wewe unaingilia suala la kuwajibishana. Out of pointHamna historia ya kuwajibishana ndio maana
Wewe unatafuta buku 7?Pole sana. Kama ndo unatafuta chai si kwa stail hii