Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

Yericko ana mkakati maalum wa kuzima scandal ya Boss wake kwa kuonana na Nimrod,then akitoka hapo aende kwa Rostam,kinana na Sumaye
Anamshukuru sana zzk kwa kumjulisha wapi Boss anapiga madili yanayomwingizia fedha za kulipa vibaraka wake salary
 
Wewe utakuwa umechanganyikiwa. Nimekuambia utoe mifano ya mitifuano kama inayotokea chadema wewe unaingilia suala la kuwajibishana. Out of point
Mguseni Lowassa muone moto hicho chama kisipofutika kwenye historia ya vyama vya siasa
 
Yericko ana mkakati maalum wa kuzima scandal ya Boss wake kwa kuonana na Nimrod,then akitoka hapo aende kwa Rostam,kinana na Sumaye
Anamshukuru sana zzk kwa kumjulisha wapi Boss anapiga madili yanayomwingizia fedha za kulipa vibaraka wake salary
Duh, napendekeza ruzuku kwenye vyama vya siasa ifutwe tuone hawa waliofanya chadema kama ni saccos watapata wapi fedha
 
Yericko ana mkakati maalum wa kuzima scandal ya Boss wake kwa kuonana na Nimrod,then akitoka hapo aende kwa Rostam,kinana na Sumaye
Anamshukuru sana zzk kwa kumjulisha wapi Boss anapiga madili yanayomwingizia fedha za kulipa vibaraka wake salary
Angalia acha kutajataja majina ya watu kama wana Ngwasuma utaolewa
 
Si bure nyie mmepewa buku 7! Yenu yanawashinda huko ccm mnafuata ya chadema, mmeng'oa watu kuja, mmemaliza tembo wote, kila kitu mmejibinafshisha waiz wakubwa sn, unavyoongea hp si kila mtu anakusikiliza watakusikiliza wale wenzako mliopewa nao buku 7-7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom