Ukistaajabu ya UFISADI WA CCM na hulka ya LOWASA ya kutaka kuongoza taifa hili utayaona ya chadema ya kuomba RIDHAA YA KWENDA IKULU ILI IHALALISHE WATANANZIA HOHE HAHE NA WENYE AFYA MBOVU NA NJAA KALI KUNYWA POMBE KALI KAMA GONGO,,,kwa ufupi wana siasa ni watu wenye masahibu yasiyo kwisha,yapaswa kuwatizama kwa jicho la uhalisia sana,
Ukitaka kuendelea kustaajabu zaid ni pale ambapo chama kinachojiit MAKINI kam CHADEMA kusumuliwa na mtu MMOJA TUH KAMA ZTTO KABWE KIAS CHA KUFIKIA KUSITISHA SHUGHULI ZOTE ZA CHAMA NA KULITETEA TAIF WAKATI MAFISADI WA CCM WANATUMIA LOOPHOLE HIYO KUPANDISHA BEI YA UMEME MCHANA KWEUPE KABISA,,
Nani wa kuwatetea watanzania??Unadhan wanasiasa wana jail shida zako wewe?kaa ukisubiri na kuuungua jua,ila nakuhakikishia utaungua sana,,
UOZO WA KURUGENZ YA HABARI YA CHADEMA NA KUSHINDWA KAZI KWA TUMAINI MAKENE UNAJIONESHA WAZI WAZI KWA KUZUKA KWA WIMBI LA WATU WASIOFAHAMIKA WANOKEA WAPI KAMA
Yericko Nyerere na
Ben Saanane kuchukua kwa nguvu nafasi hizo na kujimilikisha moja kw moja huku chama hiko na wahusika wakiendelea kuwa kimya pamoja na upotoshaji unaofanywa na MATAPELI HAO,,
KWANIN SASA TUMAIN MAKENE NA KURUGEN YA HABARI ISITAMKE RASMI YA KWAMBA NI LIN MATAPELI HAWA WALICHAGULIWA KWA NAFAS HIZO??
HAWA WAHUSIKA PAMOJA NA KUKEMEWE NA KUSEMEWA KILA AINA YA KAULI HAWASKII,HAWAAMBILIKI??HII NDIYO KUSEMA KWAMBA CHADEMA IMEKUBALI KUJIUA HATA KWENYE SEKTA ADHIIMU KAMA HII YA MAWASILIANO KWA UMMA WAKE??
IMEKUBALI KUFA MAPEMA HATA KABLA YA 2015??KWAIYO NI KWELI NA TUKUBALI YALE MANENO YA MAFISADI KAMA WASIRA YA KWAMBA CDM ITAKUFA HATA KABLA YA 2015??
NI NGUMU KUAMINIKA ILA INASIKITISHA KWA KIAS KIKUBWA SANA.