Kuosha Vyombo

na unaanzaje kumwambia dada akuoshee ivi vyombo kwanza? maana hata kabatini vinapokaa haruhusiwi kuvisogelea (hapo tu ni visafi)
DC, haoshewi mtu chombo hapa!

Mhhhhh....Nimekoma......Labda Asprin atakuja kufafanua zaidi!

DC
 
Mwanakijiji zamani kunamtu akiitwa KUNGWI, alikua na kazi maalum, (MATOKEO YA KAZI YAO NI KUDUMU KWA NDOA) siku hizi kuna KITCHEN PARTY (..................) waambie kama hakuna faida ndipo tushiriki ktk kuosha vyombo.
 
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.

Naona maluweluwe Mzee!..ni vyombo gani unavyoviongelea hapa?! kama ni vyombo vyombo, nikiwa kama mwanamke nitaosha akinisaidia sawa akikataa nampotezea..vyombo vya watu wawili hata dakika kumi haipiti nimemaliza kuosha!..
Napenda sana kusugua masufuria kwa mchanga au stili waya, huwa yanang'aa vizuri nikiosha!..vyombo pia kama vina mafuta sana, naosha kwa maji ya moto kidogo!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.

NN unaweza ukaiingilia i mada kwa milango miwili pia....YAKUBALIKA YOTE!!!!!
 
Kweli hilo nimeliona sasa. Na kwa vile Mwanakijiji ni hodari sana wa kutumia sitiari hivyo kila aandikacho wengine hukisoma kwa macho manne maana yu makini sana katika uchaguzi wa matumizi ya maneno.

Mwenzio anaweza akasema muhogo na wewe ukadhani anamaanisha cassava kumbe kamaanisha kifutu!
 
Hahahaha!!! Lol NN What it do?? Salama huko uliko??
 
Swalaama swalimini hofu na mashaka ni kwao wa ubin walo mbali na mja wao!

If he (Mwanakijiji) really wanted to, he could give Mzee Yusuf a run for his money. Dude got mad talents. He is a bad you know what. I mean Michael Jackson bad.
 
Naona maluweluwe Mzee!..ni vyombo gani unavyoviongelea hapa?! kama ni vyombo vyombo, nikiwa kama mwanamke nitaosha akinisaidia sawa akikataa nampotezea..vyombo vya watu wawili hata dakika kumi haipiti nimemaliza kuosha!..
Napenda sana kusugua masufuria kwa mchanga au stili waya, huwa yanang'aa vizuri nikiosha!..vyombo pia kama vina mafuta sana, naosha kwa maji ya moto kidogo!!

LOL!...ewe BJ weye...ati wasemaje? ama kila mila ina desturi yake. Hilo la kutumia
maji moto (vugu vugu) nimelipenda. Inaonyesha umakini, na kujituma katika kuhakikisha
viwango vinazingatiwa.

Ubarikiwe bibie.
 
na unaanzaje kumwambia dada akuoshee ivi vyombo kwanza? maana hata kabatini vinapokaa haruhusiwi kuvisogelea (hapo tu ni visafi)
DC, haoshewi mtu chombo hapa!

mnh, bht haifai hivyo...
...kumnawisha mikono je?

au ndio unamtupia kitaulo ajisaidie mwenyewe?
 
Mbu hapo naona sijaeleweka, ni kwamba iweje hausi geli aoshe vyombo?
Hivi hana ruhusa ya kuvisogelea kabisaa ati!!
Hapa si kunawishwa mikono tu, hadi na mdomo pia atanawishwa Mbu!
 
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.

Ngoja hapa nipite tuu, maana naweza nikachangia nikidhania ni uchokozi kumbe ni swali la kizushi.
 
LOL!...ewe BJ weye...ati wasemaje? ama kila mila ina desturi zake. Hilo la kutumia
maji moto (vugu vugu) nimelipenda. Inaonyesha umakini, na kujituma katika kuhakikisha
viwango vinazingatiwa.

Ubarikiwe bibie.

Kabisaa Mbu, hilo suala nipo makini na kweli vigezo huzingatiwa..tena napenda kuosha kwa mikono yangu siyo kutumia dishwasher, ha ha!
Asante kwa mibaraka mpendwa, ukae salama na wewe!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu hapo naona sijaeleweka, ni kwamba iweje hausi geli aoshe vyombo?
Hivi hana ruhusa ya kuvisogelea kabisaa ati!!
Hapa si kunawishwa mikono tu, hadi na mdomo pia atanawishwa Mbu!

...aah, hapo nimekupata. Loh!
he he he...kaazi kubwa.
 
Swalaama swalimini hofu na mashaka ni kwao wa ubin walo mbali na mja wao!

If he (Mwanakijiji) really wanted to, he could give Mzee Yusuf a run for his money. Dude got mad talents. He is a bad you know what. I mean Michael Jackson bad.
Yah!! The man got mad talents people here are getting confused thinking that he's talking about dishes, while he's on the other side of the coin.
 
Back
Top Bottom