Kuosha Vyombo

Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
Hahahaha!!! Mwanakijiji hili swali limekaa kimitego kweli unaweza kufikiri labda Mwanakijiji anamaanisha hicho alichoandika kumbe hapa inazungumziwa ishu nyingne kabisa, Mwanakijiji imenibidi kusoma mara mbili ili nielewe ulikuwa unamaanisha nini.

Ishu unayoizungumzia haiwezekani kamwe.
 
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.

Mi nilivyomwelewa:

Mnakiu ya kumegana.... mnafanya romansi pamoja..... mnafika mshindoni kwa raha zenu.... na kijasho kinawatoka...... Inakuwaje mwanamke ndo anakuwa mfutaji mkuu wa rojorojo za malavidavi?

Kama nimekosea, ni utoto unanisumbua.... nikikua ntaacha!
 
Babu ulikuwa karibu na jibu ila hili bado sio jibu sahihi
 
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.

Binafsi nitaamua kutegemeana na makubaliano yetu ya awali (original agreement). Kama tulikubaliana kuwa pamoja na kupika pamoja na kufanya kila kitu pamoja bado nalipia huduma (service charges) basi siwezi hata siku moja kuosha vyombo!!!

Ila kama ni vyombo vya kawaida au hivyo anavyoongelea Mzee mwenzangu ASA (Asprin) basi naamini kumpa kampani ya story za paukwa pakawa ni ushiriki tosha...au mnasemaje?

Mzee DC
 
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.

kama kaamua kuosha kwa ridhaa yake bila kutaka msaada na labda vyombo ni vichache yaani vya watu wawili tu hiyo haina noma ni poa tu.
 
Katika kiapo cha ndoa ulisema kuwa nitakuwa naye katika kila hali kwenye utajiri na kwenye umaskini na kila jambo.Imagine wote mnafanya kazi then mkatoka kazini wote mmechoka mkapika na kula wote je kuna shida gani hata kwenye kuosha msisaidiane mmoja anaosha mwingine anasuuza na kufuta au hata kama hufanyi hivyo mpe mwenzako companya kaa naye pale ajisikie vizuri:dance::A S 103::pound:
 
Ni kweli ila utajuaje kama jamaa hakuoa ili kupata mfanyakazi wa kutoa huduma za ndani na zile za ziada??????

Mzee DC!
 
Huyu mzee zamani alituletea mambo ya kupika na kupakua, leo anatuletea mambo ya kula na kuosha vyombo.
Tena amekolezea na ka-mvinyo kidogo katika kuwekea msisitizo. Nahisi muda si mrefu atatujia na madhara ya kuvimbiwa!

Mzee Mwkjj, desturi za walaji zatofautiana. Achilia hao waliofundwa kuwakoshea wenzi wao,
Wengine wana desturi ya kupangusia kwa makaratasi kwanza.

Wengine hufutia chochote kilicho karibu yao. Sijui na hawa tutawahukumu ni uvivu wa kufuata kanuni za mtu ni afya, au ni matokeo ya 'shibe mwana malevya!'
 
eeeeh aisee umenikumbusha, aliletaga mambo ya kuosha mwiko na bakuli huyu....

shauri yake anayedhani ni vyombo vya kuosha na madodoki. nshajua
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kazi nyingine ukimwachia housegirl unakaribisha matatizo...hata ugonjwa wa moyo unaweza kukutembelea!!
na unaanzaje kumwambia dada akuoshee ivi vyombo kwanza? maana hata kabatini vinapokaa haruhusiwi kuvisogelea (hapo tu ni visafi)
DC, haoshewi mtu chombo hapa!
 
Back
Top Bottom