Kuosha Vyombo

Kabisaa Mbu, hilo suala nipo makini na kweli vigezo huzingatiwa..tena napenda kuosha kwa mikono yangu siyo kutumia dishwasher, ha ha!
Asante kwa mibaraka mpendwa, ukae salama na wewe!!

...lahaula! ehh he he...swadakta wallah.
Nimepapenda zaidi hapo "kuosha kwa mikono yangu."
...(imagination) kama nakuona mwenyewe unakoshea vyombo kwenye beseni, taratiiiibu....

Tukirejea swali la huyu mzee wa Kijijini, unajiskiaje unapooshewa vyombo vyako?
mnh, sijui nimeeleweka hapa?...hapana. Ngoja nisepe kidogo.
 
Inatakiwa kuwa makini sana pindi unapo jibu hii kitu lasvyo kama ni mwanaume basi utaingia choo chakike na kama ni mwanamke utaingia choo cha kiume.....wela welaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa///mambo ya malavidavi hayo mmekula wote halafu kuoshaaaaaaaaaaaaaaaaa ........
 
A good one!
kama kachoka mwenzio pia si mbaya ukamsaidia tu.

Kwa vile mada yenyewe haikutaja jinsi (sex) ya huyo anayeachiwa vyombo akomae navyo peke yake basi hapo ni sawa tu kwani haijalishi ayelichoka ni S/HE!!

Ila kuna wengine wanafurahia sana kuosha vyombo....sasa sina hakika kama huo hautabadilika na kuwa kama mchezo wa watoto kugombania ukoko wa ugali ,....wao wakiita ni chapati!!
 
...lahaula! ehh he he...swadakta wallah.
Nimepapenda zaidi hapo "kuosha kwa mikono yangu."
...(imagination) kama nakuona mwenyewe unakoshea vyombo kwenye beseni, taratiiiibu....

Tukirejea swali la huyu mzee wa Kijijini, unajiskiaje unapooshewa vyombo vyako?
mnh, sijui nimeeleweka hapa?...hapana. Ngoja nisepe kidogo.

Hivi kila mtu akiosha vyombo vyake kuna ubaya wowote? Au mkibadilishana je (swapping)???????????!!!!
 
Hivi kila mtu akiosha vyombo vyake kuna ubaya wowote? Au mkibadilishana je (swapping)???????????!!!!

he he! mstaafu we acha tu. Naona Mzee wetu Mwanakijiji nae sijui ndio kasepa, au?
kaanzisha timbwili kisha katokomea kusikojulikana. Masika za mwaka huu
hana hata sababu za kutudanganyia kaenda tafuta mbegu. Mvua hazitoshi hapa kijijini!
 
Hivi kila mtu akiosha vyombo vyake kuna ubaya wowote? Au mkibadilishana je (swapping)???????????!!!!

Inategemea na waoshaji wenyewe kaka mkubwa! (hivi haya mazungumzo ya kufanya na kaka kweli?)

Ila swapping ina raha yake.....(sirudi tena DC)
 
Hivi kwani Mwanakijiji anazungumzia vyombo gani hapa na wewe unazungumzia vyombo gani?

Enhe!...

Tangu mwanzo wa mjadala naamini tunazungumzia Vyombo.
  • Vyombo ambavyo vikishatumika huchafuka.
  • Vyombo ambavyo kutokana na umafuta wake, panahitajika maji vuguvugu kukoshea.
  • Vyombo ambavyo kwa waliofundwa vyema (Ref; BJ's Quote) inabidi kuvioshea kwa beseni,...
  • Vyombo ambavyo inapendeza muoshaji akiwa amechuchumaa, 'attention to detail'
  • vyombo ambavyo wazungu huita 'fragile, handle with care'...sio kugongwa na kurembewa kabatini
  • na kwa uangalifu vyombo hivyo hufutwa na kupangwa tena vizuri tayari kwa matumizi ya baadae.
Kama mnazungumzia lugha nyingine, nawaomba radhi walioathirika na mabandiko yangu, heh he heh!
 
Enheee maridhawa kama dawa ya chawa! Sasa vyombo hivyo ni vyombo gani? Mpaka sasa sijapata jibu la kuridhisha na mweza wa kunipa jibu hilo hayupo. Labda akirudi atanipatia hilo jawabu.
 
Inategemea na waoshaji wenyewe kaka mkubwa! (hivi haya mazungumzo ya kufanya na kaka kweli?)

Ila swapping ina raha yake.....(sirudi tena DC)

Kama vyombo vyenyewe ni ni masufuria ya aluminium/stainless steel na mabakuli/sahani ya plastic, kauli au udongo ni ruksa. Ila kama ni vile vyombo visivyoruhusiwa kuwekwa wazi kwenye public ingawa watu wote wanajua kuwa vina-exist haina tija kabisa!!
 
kwa hiyo wewe una msapoti gavana arnord swarneger alie zaa na house girl wake mpaka ndoa ikaingia mchanga

Aka babu, sie waume zetu ruksa kuoa mpaka wanne, sasa akiwa na hamu si anaongeza mwingine tu kihalali, na hao wanne wakimchosha anaacha na kuoa wengine kihalaaali, labda awe hafati maamrisho na anafanya dhulma. Maana hamna dhulma na ufisadi kama kutembea na mwanamke mwingine kiharaam wakati unae wa halali, kama Slaa PhD wa kanoni bila degree hata moja, hali kadhalika mwanamke kutembea nje ya ndoa, hususan ikifikia kuwa unautangazamia umma unaokutazama kama kioo cha maadili katika jamii kuwa unataka kuzaa nje ya ndoa kama alivyofanya Halima Mdee. Looooo!
 
Aka babu, sie waume zetu ruksa kuoa mpaka wanne, sasa akiwa na hamu si anaongeza tu mwingine kihalali labda awe hafati maamrisho.

Wakishafika wanne (4) na hamu ikabaki pale pale mnawasaidiaje....LOL??????
 
Halafu kuna vyombo vya plastiki na vya udongo sasa sijui hapa Mwanakijiji anazungumzia vya aina gani???
 
Back
Top Bottom