...lol...mambo yenyewe kila siku kutishana hapa. Samawati anaelezea uzuri wa ndoa mnampinga ati kwakuwa ndoa yake changa...sasa nishike lipi niache lipi?

Aliolewa juzi utamjua tu lol

Mbu simvuti mtu bana wartavutika wenyewe na wataingia tuu kwani kuna haja ya kupiga kelele. Huyo eiyer mwenyewe ngoja muda wake ufike atajileta mwenyewe

Eiyer keep on waiting for the beautiful one to be born. And in this world of miracle anything can happen
Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!
Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.
Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.
Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.
faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!
Waume zetu mpoooo??

Too bad,i dont belive in miracle,and beside that beatiful ladies does not exist now days!

I don't believe in miracle either but to you I think u need more than miracle to prove your theory
Yes, I am a ndoa premium member. teh teh!!Dahhhh
Kwa maelezo yako
Ni kama umewahi kuingia
Au upo kwenye ndoa...
Nway
Umenikimbusha..
Comedy fulani ya Chris Rock......
........ nzuri sana .........
Ndoa ina raha yake mwanzoni ila baadae ni kama unaishi na kaka/dada yako,but no way raha ya ngoma ni uingie na uicheze!!Sie tupo miaka kibao
kama ni chloroquine tushameza na pipi tushakula pia.