Kuolewa kuna raha zake!

Kuolewa kuna raha zake!

Nina si una kila kitu na uwezo waache hao ambao wanapiga kelele kuwa ndoa ni mbaya waendelee
 
Jama hata mtishie vipi mie kwangu kuoa ni kama ilivo kifo ambacho ni lazima kimkute mwanadam! Na Mungu alinipa accesories zoote ya kutimiza hilo!
Baelezeee, watu wanasema tu, ikifika muda wenyewe watahitaji wenza
 
Baelezeee, watu wanasema tu, ikifika muda wenyewe watahitaji wenza

Na wakiwapata, safari ndio imeanza... kuna tambarare, milima na mabonde~

Jikazeni mtafika kama Samawati.

Labda swali kwa Samawati:
Katika safari yako unapokuwa unapanda milima unajiskiaje mwenzetu? Na nini siri hasa ya kutokushindwa?
 
Hujasema uongo aisee. For sure tunakula raha...

Hata hivyo nina kanyumba kadogo ambako hukafaham...

Nilikua sijakusoma hazibend....
mbona nakafaham long time?unakaonaga saa ngapi maana tuko wote muda wote?
 
Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!

Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.

Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.

Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.

faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!

Waume zetu mpoooo??

mbona unasema waume zetu mpoo kwan we una wanaume wangap?
 
kwa mfano unakwaruzana na mkeo ,mama mkwe anamtumia nauli mtoto wake arudi kwao,na binti anachukua jukumu la kuondoka ,je hapo mdao unafanyaje?!
 
Hata ukikwaruzana na mtu au boss ofisin mume anakupa beby dnt cry

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nijikute tu!!

ujikute nini na wewe???? Ingia bana kwenye ndoa...... don't you want somebody special that will be there for you to comfort and hold you while you are upset and to cling you in his chest while you cry and stroke your cheek and say '' baby it's gonna be ok?'' yaani unapata faraja muda muafaka sio mpaka usubiri sijui ka boy friend sijui kamchumba kaje kakujazie stress LOL!!!!!!

Ila akili kumhead mwaya maana ndoa nyingine ukiingia kichwa kichwa waweza timua mbio kama unafukuzwa na nyuki vile!!!!!!!
 
Shoga,
Heri nibaki single, ndoa nyingine majanga matupu.
 
hahahaaa.....! Shoga kwani ulishaingia ndoani ukakutana na hayo majanga??? Au za majirani ndio zinakutia hofu??????

Kuwekwa kinyumba ni nusu ya ndoa.
Nimeonja unyumba mara 4, hakuna kwa afadhali.
Nitazeekea home kwetu mie.
 
Na wakiwapata, safari ndio imeanza... kuna tambarare, milima na mabonde~

Jikazeni mtafika kama Samawati.

Labda swali kwa Samawati:
Katika safari yako unapokuwa unapanda milima unajiskiaje mwenzetu? Na nini siri hasa ya kutokushindwa?

Mwanamke anatakiwa ajifunze kusamehe saba mara sabini.

Mwanaume uvumilivu
 
Back
Top Bottom