Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!
Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.
Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.
Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.
faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!
Waume zetu mpoooo??
Nipo nipo mkuu... Majukumu yananitafunia mda...
Aliolewa juzi utamjua tu lol
Aliolewa juzi utamjua tu lol
Hivi, kwenye kupika hujawahi kuungua..?? Kama uliwahi, je uliacha kupika..??? KUJIENDEKEZA TU..
SIJUI UKOJE..!!
Tupoooooooooooooo....shauri ya nyinyi.. shauri ya kuwapa rahaaaaa...ndoa hip hip ... hureeeeeeee. Mmmmh wewe mama wewe natamani hii mada waione na wale wanawake wote humu wanaopinga kwamba dunia ya leo hakuna watu wanaofurahia ndoa. Waje wapate ushahidi ambayo nimekuwa nikiwaambia kila siku kwamba unapoona wewe ndoa yako ina matatizo fahamu tatizo lilianzia kwako kung'angania ubavu usio wako.Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!
Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.
Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.
Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.
faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!
Waume zetu mpoooo??
Ndiyo yale yale ya Wabunge kupinga hoja halafu unaishia kwa kuikubali. HahahahahahahahahhaaMmmmmmh yaani hizi faida ulizoziweka wala hazina Mashiko. They are NOT big deal, eti sijui ULINZI etc MONEY can do all of the above. Labda ile ya kwanza. Najua kila kitu kina faida na hasara. Kuolewa ni muhimu NO matter what happened.
Tunahitaji kuolewa kwani uzinzi sio mzuri kwenye macho ya binaadamu pia kwa MUNGU.
Tunahitaji kuolewa haipendezi kuzaa ovyo, au kila mtoto ana baba yake.
Tunahitaji kuolewa ili kukusanya nguvu pamoja kwa ajili ya kuijenga familia, tofauti baba/mama wakiwa kila mtu kivyake.
Tunahitaji kuolewa, ni heshima kwenye jamii. Unaonekana uko matured enough, unaaminika kwenye jamii pia ni rahisi kupewa majukumu mengine.
Tunahitaji kuolewa, kwa ajili ya kupata faraja kutoka kwa wenzi wetu, unakuwa na mtu ambaye unaweza ukamshirikisha raha au magumu unayoyapitia na mkakaa pamoja kutafuta suruhisho.
Na mengine mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwani we Madame B uko tayari kuolewa na mimi..?
Mmmmmmh yaani hizi faida ulizoziweka wala hazina Mashiko. They are NOT big deal, eti sijui ULINZI etc MONEY can do all of the above. Labda ile ya kwanza. Najua kila kitu kina faida na hasara. Kuolewa ni muhimu NO matter what happened.
Tunahitaji kuolewa kwani uzinzi sio mzuri kwenye macho ya binaadamu pia kwa MUNGU.
Tunahitaji kuolewa haipendezi kuzaa ovyo, au kila mtoto ana baba yake.
Tunahitaji kuolewa ili kukusanya nguvu pamoja kwa ajili ya kuijenga familia, tofauti baba/mama wakiwa kila mtu kivyake.
Tunahitaji kuolewa, ni heshima kwenye jamii. Unaonekana uko matured enough, unaaminika kwenye jamii pia ni rahisi kupewa majukumu mengine.
Tunahitaji kuolewa, kwa ajili ya kupata faraja kutoka kwa wenzi wetu, unakuwa na mtu ambaye unaweza ukamshirikisha raha au magumu unayoyapitia na mkakaa pamoja kutafuta suruhisho.
Na mengine mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ndiyo yale yale ya Wabunge kupinga hoja halafu unaishia kwa kuikubali. Hahahahahahahahahhaa
Kwa mwenye akili hii msg fupi imebeba maana kubwa sana sana sana. Nimeipenda sana hii.
Tupooooooooooo!
Mh ila hapo kwenye red hapo mh,nadhani ndo huwa mna paongelea zaidi mnapotamka neno usalama na sio zaidi.
Jifunzeni kuwa financially independent girls sio mpango huo oh.
Halafu kwanini unapenda kutaja wake za watu kila siku bila ruhusa ya wenyewe.Kwani we Madame B uko tayari kuolewa na mimi..?
CC
Heaven on earth