Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
<br />I know na nawajua sana. Ila hapa tunazungumzia taasisi inayoitwa ndoa na sio bla bla za wachumba na gal and boy friend kaka<br />
I knon nothing safe there ila we don like to fall into trap of generalization of something like marriage. Yeah zipo ndoa ambazo kila siku watu wanaombea kwa nini zisivunjike ila ziko ndoa ambazo ziko salama na wenye ndoa wanaishi maisha ambayo Mungu aliwapanmgia waishi. Japo hatuwezi kujua what is happening inside their rooms ila nje mbele ya jamii na familia zao wanaonyesha kuwa they are happy. Sipingi kuwa ndoa nyingi kuna matatizo ila sio sahihi kusema kuwa hakuna ndoa safe hata mojai
<br />
Rocky what's wrong with u?Why u dont wana see things in reality?What going on in their room ndo ndoa ilivyo na hatari zake achana na pretance za nje,kinachotokea ndani ndo kinaamua hatma ya ndoa!