Kuolewa kuna raha zake!

Kuolewa kuna raha zake!

Kama huwezi endelea kukaa bachelor hakuna mtu utakayempata kama mwenza atakkaye kufanya ucheke tuuuuuu. Malaika huyo duniani hakuna awe mke au girlfriend

Wala sina shida,i'm happy mama don't worry!

Najua kuna wanaokunywa maziwa kwa kulipia bili kwa ng'ombe wa jirani. Bali ukweli unabaki pale pale mfugaji anakunywa maziwa zaidi ya mtegemea ya kununua

Uko dunia gani mama?Unafikiri kila anaekunywa maziwa anafuga ng'ombe?

Nyumba kubwa usihangaike kubishana na Eiyer maana anabisha kitu ambacho kiko wazi na sijui atakuja kumuoa malaika na anategemea kweli atampata

Najua kuna wanaokunywa maziwa kwa kulipia bili kwa ng'ombe wa jirani. Bali ukweli unabaki pale pale mfugaji anakunywa maziwa zaidi ya mtegemea ya kununua

Hukuelewa nilichokuwa namaanisha,ni kuwa unafikiri ili nijue kuwa kuna wanaolala vitanda tofauti ni lazima niwe kwenye ndoa?

Nyumba kubwa usihangaike kubishana na Eiyer maana anabisha kitu ambacho kiko wazi na sijui atakuja kumuoa malaika na anategemea kweli atampata

Kwani ni kipi kilicho wazi?Mbona sioni????

Kama unataka kujua kucheza mpira ingia uwanjani uvae jezi ucheze haya ya kuongelea na kujifanya unajua sana kucheza mpira ukiwa nje wakati sio kocha wala mshauri wa timu haifai

Kama unataka kujua kucheza mpira ingia uwanjani uvae jezi ucheze haya ya kuongelea na kujifanya unajua sana kucheza mpira ukiwa nje wakati sio kocha wala mshauri wa timu haifai

Siku hizi ni tofauti,unaweza ukaujua mpira bila ya kuucheza ndo maana wapo makoch ambao hawakuucheza mpira lakini wanaufundisha!WAKE UP!!!!

Mpira wa kujifunzia kwenye computer
Same na ndoa yako ya kuigiza na watu wa kuigiza na wasiokuwepo. Tushaamka sana kaka na ukiendelea na huo utandawazi wako na kuwaza kila kitu ni ngumu tafuta mke wako umuumbe mwenyewe na ukae nae mwenyewe

It's too bad u don't wanna wake up!Unaendelea kufikiri ndani ya box!

Ndoa siku zote nzuri kwa wanawake tu kwa wanaume ni mateso ya milele!!!!!!!

It's too bad u don't wanna wake up!Unaendelea kufikiri ndani ya box!

Wake up and divorce or leave my wife or doing what.
Sijakupata niamke kwenye nini au nifanyeje au nione nini
Wewe ndo unatakiwa kuamka kwenye usingizi wa mchana uliolala au ndoto unazoota mchana wakati unatembea
Amka ione ndoa kama kitu ambachokipo na kitakuwepo licha ya hizo critsism zako. w

Duhhhhhhhh
Asante very useful info...
waweza kutupa sababu
Kidomcho tuuu..
hapa ni kuingia ngomani na kucheza tu, ukiwa mme ww tafuta, hangaika, mpe mke akitakacho shukurani yake ni matusi na dharau na inabidi ubembeleze ili usiku upite vizuri. angalau uwe na wake kuanzia wawili ndo heshima kidoooooooooooogo.

Dahhhh
Kwa maelezo yako
Ni kama umewahi kuingia
Au upo kwenye ndoa...

Nway
Umenikimbusha..
Comedy fulani ya Chris Rock......
........ nzuri sana .........

Back
Top Bottom