Kuolewa kuna raha zake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuolewa kuna raha zake!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Samawati, Aug 5, 2011.

 1. Samawati

  Samawati Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  Wako watu wanaosema ndoa ndoano
  kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
  Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!

  Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
  Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.

  Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
  Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.

  Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
  uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
  hutaishiwa au kupungukiwa.


  faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
  ndoa zenu!

  Waume zetu mpoooo??
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yaani, wewe acha tu!

  Although there are some short falls,

  You have a shoulder to lean on..... in case of the rain day!

  A confidant!

  Shoga yako, the one to share almost mambo mengi....

  Wa kulala naye...
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tupo bana nikweli hata kuoa kuna raha yake
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hapa sitii mguu kwani mimi bado ni single,....ila naonaga mikwaruzano mingi kwenye hizi ndoa,....ingawa sijui ndio raha zenyewe au la,........anyway i will see when i get...............!
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Igwe huo mguu mmoja uingize ndani kwani ukiwa mmoja nje mmoja ndfani hueleweki
  Ndoa tamu bana asikuambie mtu
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Aliolewa juzi utamjua tu lol
   
 8. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Tupo kabisa kabisa, asante.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  TB ni kwa nini mkuu utamjua aliyeolewa juzi. Yaani bado ile misukosuko hajaiona eehh
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Tupooooooooooo!!!!!!!!!
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280


  ngoja kwanza mkuu wangu,.......unajua haya mambo ukiyaparamia utajuta kuzaliwa,....ngoja kwanza akili ikomae maake ninayo yaona na kuyasikia mengine yanahitaji ukomavu wa mawazo na akili_la sivyo unaweza jilipua
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu Igwe kwani mpaka leo hujamuona wa kulingana na wewe au kufanana fanana na wewe. Kwani hujawasoma hawa viumbe ukawaelewa. Kwani hujajua namna ya kukaa nae maana mpaka maandiko yanasema tukae nao kwa akili. Mkuu ukimchunguza sana bata hutamla kaka
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kabisa.....
  Sio bure bure tu unaona walio kwenye ndoa wanapotamani wasinge ingia
  yamewakuta......
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kaka ninae,...anaonekana yuko poa lakn ngoja kidogo mkuu,..si umeona watu humu ndani wanavyoleta matatizo kila kukicha_wengine wakuja kuambiwa hawapendwi baada ya kupita miaka 5,.....uuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuuuuuuuuf
   
 15. l

  lebadudumizi Senior Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya bana napita.
   
 16. Samawati

  Samawati Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  kwani Boss mkeo anajuta kuolewa nawe?
   
 17. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  tupo na nimekupata kwa nguvu ya tano. Je raha ya kuoa? Mbona wapendelea?? Je unamtii mumeo?
   
 18. l

  lebadudumizi Senior Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenzio tuna mipango ya kuacha wewe unakuja na story za kudanganya watu Mkuu IGWE wala usijaribu kutia pua utajitafutia balaa bure.

   
 19. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  halafu Igwe wewe mara unaogopa kupapaswa mara unaogopa ndoa......... hiyo miaka 5 utakuwa umepata raha.........we ingia humo yakianza unakuja huku kuomba maushauri
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mkuu hakuna kituy ambacho ni static na huwezi ukasema kuna mtu perfect hata mmoja yaani mtaoana muwe kama malaika. Ni namna utakavyoiweka na kuitengeneza ndoa yako mkimuomba na Mungu atangulie. Haya yanayotokea kati yenu ni mapito tuu mnatakiwa kupambana nayo myashinde.
   
Loading...