Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,192
present!
Jana na leo1
Jana na leo1

Mkuu waambie hawa akina Igwe, Eiyer, na wenzake kuwa mambo huko ni mazuri bana. Hasa mkikutana mnaoelewana na kusikilizana. Na ndoa ikijaliwa watoto. Yaani mtaona raha yake bana.
hahahahahaaahh Mr. Rocky kuna haja ya kumwingiza ndoani kwa nguvu huyu Mbu ili apate uzoefu eti eh?..................................Kabisa maana anazungumzia miguu yote ikiwa nje hataki kuingia. Hapo huo uzoefu ataupata wapi wakati hata kuchungulia kukoje hataki

...lol... hii sasa shughuli, hehe hehe! Na wale wanaotupa mafundisho ya ndoa na maisha ya kiroho je?

Haya bana, acha nichangie kimya kimya...lol...
...lol...mambo yenyewe kila siku kutishana hapa. Samawati anaelezea uzuri wa ndoa mnampinga ati kwakuwa ndoa yake changa...sasa nishike lipi niache lipi?
Afadhali hata wao wanatumia misahafu. Na wana kauzoefu kwa kuwa walimu wa mafundisho hayo. Sasa wewe hata ndoa huna na wala huna mpango huo utatoaje mafunzo

...lol...mambo yenyewe kila siku kutishana hapa. Samawati anaelezea uzuri wa ndoa mnampinga ati kwakuwa ndoa yake changa...sasa nishike lipi niache lipi?
You got that one, I was waiting for someone to say it out aloud. Holla!Aliolewa juzi utamjua tu lol

Aisifuye mvua imemnyea.

Samawati uko sahihi kusifia raha unayopata kwenye ndoa yako. Hii itawatia moyo wale wanaosuasua kuingia kwa kuogopa kasheshe za ndoa.Kila jamii inaheshimu na kutia moyo watu waoane. Ukiona yamekushinda kwenye ndoa yako siyo vema kuwakatisha tamaa wengine.Binafsi naona ni vema kuingia kwenye ndoa ikiwezekana kuliko kuogopa kuingia kwa sababu umetishwa.

Mbona mnazungumzia upande mmoja wa shilingi?Mbona hamzungumzii ngumi,kuzira kupiga mechi,kulala vitanda tofauti kununiana kama ile "segimenti"ya origino komedi ya ndoa ndoano!
bonge la mbinu ngoja nilifanyie kazi sjui ntaweza maana namie mpana mno.....hahahah anajitoa ufahamu, hata jamaa akimkung'uta/m cheat yeye atulizane tu ila jamaa atakuja kukiona cha moto akishakamilisha jukumu lake hiyo dec....hahahaha mbinu hiyo shosti.

Mbu asikuambie mtu ndoa si mchezo,hao wanapiga blabla tu!

Eiyer usitegemee kuwa ndoa itakuwepo bila kuwa na vitu kama hivyo. Kuna wenye bahati kwao hayo hayapo ni love mwanzo mwisho na maelewano

Ila kuna nyingine ni balaa kudundana, matusi, kejeli na mambo kama hayo.

Ila yote hayo yapo huwezi ukasema kuwa hayawezi kuwepo na sometime ndo yanadumisha ndoa.

Ndoa ni tamu na ndoa ukiwa unakubali kukosolewa na kuwa kama mwanafunzi kila siku utaifurahia
bonge la mbinu ngoja nilifanyie kazi sjui ntaweza maana namie mpana mno.....