Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,499
- 10,540
Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini.
Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma.
Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka kutoka kwenye hiyo imani wanakukata kichwa.
Watu hawa wanaamini wakifa mungu wao kawaandalia danguro na baa huko watakuwa wanafanya uzinzi na ulevi milele.
Wengine kutwa kucha wanaomba marehemu wanayemuita bikira ilihali alizaa watoto watano awe anawaombea sasa na saa ya kufa kwao. Wanabariki wenye ndoa za jinsia moja.
Dini ni kitu cha ajabu sana. Wana heri wale wasiokuwa na dini bali wako ndani ya Yesu Kristo. Kwake yeye Mwamposa, au TB Joshua au Mwakasege au Muhammad si kitu bali imani kwake itoayo uzima wa milele.