Ulimnunulia cherehani aina gani kati ya hizo? Maana zipo hadi za kompyuta
Hapana, nawajua wahindi kibao wenye CPA wanafanya biashara ya maduka kitumbini!Daaaah! We ni kiboko! Kwa elimu aliyonayo cherehani haina mashiko!! Kama ungelikaa nae ukamuuliza ni zawadi gani alihitaji, au kwakuangalia plan zake na fikra zake ungetambua ni kipi kingemfaa!!
Kweli elimu yote ile akaitundike kabatini na aanze kushona nguo?!?
Amesema Atampeleka Kozi Ya Kushona!!!Anajua kushona?
Amesema Atampeleka Kozi Ya Kushona!!!
Hilo Nishamwambia Jamaa Yaan " Amebugi" Zawadi Ni Kucheza Na Hisia Z Mtu, Ukikosea, Umeharibu!!!Kwani amesema anataka kujua kushona? Ilibidi ajue interest za mchumba Wake..ht mi ningenuna!
Cherehani anaweza kuitumia nyumbani pia.sio Kula nguo unapeleka kwa Fundi.HAYA ndio matatizo ya watu waliokosa sayansi kimu ktk elimu zao.
Aisee inawezekana pesa imeandikwa ndani ya moyo Wakommhhm!! raha ya zawadi mtu ajue unapenda nini, mambo yakuleteana makolokolo hapana bhana, bora tupeane pesa tu.
Aisee inawezekana pesa imeandikwa ndani ya moyo Wako
Aisee inawezekana pesa imeandikwa ndani ya moyo Wako