Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Umemletea cherehani maana yake nn?? aanze kujifunza kushona na alichosomea akiiache au?? alishawah kukuambia kuwa anapenda kazi km hiyo au we ulimuotea tu? Unajua vitu vngne mckurupuke tu kubeba kuletea watu zenu. Angalia na hobby zake, mtu unamletea kitu tofaut na hobby yake unathan atakufurahia? lazma atakuuliza tu umenionaje!
 
Kwa upande wangu nimekudharau sana we mwanaume..

zawadi uliyompa ina tafasiri tofauti binafsi hata ningekuwa mimi ungekuwa ndo mwisho wa mahusiano.. tumia akili tu ya kawaida mtu amemaliza chuo cha biashara, ndio hajapata kazi!, cherehani ndo umeona ndo suluhisho la kupata kazi.. hyo cherehani hukupaswa kumpa siku ya sherehe yake, ungepaswa kumpa kama mngeelewana mkiwa wawili na akaridhia kwa moyo kama ingemfaa, siyo kumdhalilisha mbele za watu na elimu yake unampa cherehani. alafu still una mawazo ya kujenga vyoo ati awe anatoza hela vyooni. pumbafu kabisa wewe, siku ya birthday siyo siku ya kudhalilishana.. bora ungemletea maua, pipi bigbom, pete, kadi.. sasa cherehani? your not syrious my brother.. jinga kabisa..
 
Hahaa eti zawadi ya mbele ya umati wa watu ni cherehani
ha haa....unanikumbusha enzi za Mwalimu Nyerere kwa kweli dah
cherehani cha singer....na ungeongeza na chachacha za kuvaa kabisa
 
Daaaah! We ni kiboko! Kwa elimu aliyonayo cherehani haina mashiko!! Kama ungelikaa nae ukamuuliza ni zawadi gani alihitaji, au kwakuangalia plan zake na fikra zake ungetambua ni kipi kingemfaa!!
Kweli elimu yote ile akaitundike kabatini na aanze kushona nguo?!?

Wewe poyoyo sana mm nina Dada yangu ana kamarstes yake ya Accnt anafanya NAOT kanunua chereani ipo ndani sa hivi anajifunza chereani. Elimu sio kigezo ndugu yangu zaidi ni kujiongeza kutafuta pesa. Acha dharau. Huyo mdada msamehe bure ndo ujue mapema unamke wa namna gani.Ni zawad nzuri ipo siku atasema asante.
 
Kwa upande wangu nimekudharau sana we mwanaume..

zawadi uliyompa ina tafasiri tofauti binafsi hata ningekuwa mimi ungekuwa ndo mwisho wa mahusiano.. tumia akili tu ya kawaida mtu amemaliza chuo cha biashara, ndio hajapata kazi!, cherehani ndo umeona ndo suluhisho la kupata kazi.. hyo cherehani hukupaswa kumpa siku ya sherehe yake, ungepaswa kumpa kama mngeelewana mkiwa wawili na akaridhia kwa moyo kama ingemfaa, siyo kumdhalilisha mbele za watu na elimu yake unampa cherehani. alafu still una mawazo ya kujenga vyoo ati awe anatoza hela vyooni. pumbafu kabisa wewe, siku ya birthday siyo siku ya kudhalilishana.. bora ungemletea maua, pipi bigbom, pete, kadi.. sasa cherehani? your not syrious my brother.. jinga kabisa..

Pole sana baadhi ya wanawake tena aina yako ni shida sana. Hats wew kama umeolewa utakuwa mtata sana.
 
Mwanamke mpuuz tu anaeweza kataa zawad kama hyo,hajui kama soko la ajira imebanwa kisawaasawa.
MWACHE AKODOEKODOE MACHO mwshowe umwbwage maana hana wazo mbadala kwny haya maisha ya siku hz.
 
Daaaah! We ni kiboko! Kwa elimu aliyonayo cherehani haina mashiko!! Kama ungelikaa nae ukamuuliza ni zawadi gani alihitaji, au kwakuangalia plan zake na fikra zake ungetambua ni kipi kingemfaa!!
Kweli elimu yote ile akaitundike kabatini na aanze kushona nguo?!?

ukiwapa nafasi ya kuchagua huwa hawakawii kuchagua gari
 
huyo binti elimu yake haijamsaidia bado, mtu mwenyewe kasomea biashara halafu anaringaringa...
cc BUMIJA witness_j

hiyo zawadi ya maana sana... hata asipokuwa mshonaji yeye basi anaweza kuikodisha..
 
Last edited by a moderator:
Umemletea cherehani maana yake nn?? aanze kujifunza kushona na alichosomea akiiache au?? alishawah kukuambia kuwa anapenda kazi km hiyo au we ulimuotea tu? Unajua vitu vngne mckurupuke tu kubeba kuletea watu zenu. Angalia na hobby zake, mtu unamletea kitu tofaut na hobby yake unathan atakufurahia? lazma atakuuliza tu umenionaje!

Sawa ila huyo binti angepaswa tu aipokee thn jamaa alipomtext na kumcall angeenda then amwambie hakupenda hiyo zawadi hivyo ambadilishie...alikosa hekima huyo binti.
 
Huyo sio wife material

Nimesema hivo kwa sababu kama kweli anakupenda kwa dhati.hata ungempelekea mchanga Wa pwani angefurahia .
Zawadi ni chochote we pokea tu.

Kimbia fasta mzee waibiwa.ukilegea utakaa uchi nzi watakung'ong'a.
Kila Mmoja Na Interest Yake, Mwingine Unaweza Kuta Anampenda Kweli Na Yy Upendelea Zawad Anazozpenda Yy, Unapomletea Asiyoipenda Ni Itakua Ni Kma Unajaribu Kulazmisha Apende Asichopenda Hapo Ndipo Ukwazika Maana Wengine Sio Wanafiki, Wakikwazika Utajua Tuu, Hata Mimi Mbna Ukinipa Zawad Nisiyoipenda, Nitakuonyesha Tuu Waz Wazi Sijaipenda!! Kwa Mfano, Kuna Binti Wiki Zimepita Aliniletea Viatu, Kiukweli Sikuvipenda Na Alipoondoka Nikavitupa Stoo Kwa Hasira Maana Niliona Kma " Anazingua" Hiv Kwa Kuniletea Viatu Ambavyo Niliona Sio Type Yangu. Vile Vile Zawadi Ni Swala La Kugusa Hisia Za Mtu, So Unapaswa Kucheza Na Hisia Za Mtu, Ukikosea Unaharibu!!! Ww Braza Hapo Ulikosea Na Sijui Uliwaza Nn?? Cherehan Si Zawadi Mbaya, Lakini Je Unaempelekea Unadhan Anao Uhitaji Wa Cherahani????[emoji144] [emoji144] ???
 
ninachokiangalia hapa ni namna ya kumsaidia aweze kujiajiri!
sasa kumnunulia cherehani ni kosa?
au ningemnunulia mzani wa kupimia uzito
awe anazunguka nao mitaani?
vinginevyo asubiri mwakani nikipata hela nianzishe mradi wa choo cha kulipia halafu awe anasimamia huo mradi.
siku zote biashara mnazozidharau ndio watu wanatajirikia!
Unajua Mipango Yake Kichwani??
 
Wewe poyoyo sana mm nina Dada yangu ana kamarstes yake ya Accnt anafanya NAOT kanunua chereani ipo ndani sa hivi anajifunza chereani. Elimu sio kigezo ndugu yangu zaidi ni kujiongeza kutafuta pesa. Acha dharau. Huyo mdada msamehe bure ndo ujue mapema unamke wa namna gani.Ni zawad nzuri ipo siku atasema asante.

Kweli kabisa mkuu,
 
ninachokiangalia hapa ni namna ya kumsaidia aweze kujiajiri!
sasa kumnunulia cherehani ni kosa?
au ningemnunulia mzani wa kupimia uzito
awe anazunguka nao mitaani?
vinginevyo asubiri mwakani nikipata hela nianzishe mradi wa choo cha kulipia halafu awe anasimamia huo mradi.
siku zote biashara mnazozidharau ndio watu wanatajirikia!

kaka hajui alizungumzalo huyo,hata huyo mwanamke aonekana mtu wa kujisikia na kujisifu sasa alikua kajitamba kwa marafiki zawadi bomba kaandaliwa,ila mkuu una AKILI SANA na watu hawajui kua mafundi nguo wanapesa sn kuliko hata siye tunaong'aa sharubu maofisin,iuze hyo cherehan mwambie asubiri hizo kazi za ofisini akakae kwnye kiti cha kuzunguka
 
ninachokiangalia hapa ni namna ya kumsaidia aweze kujiajiri!
sasa kumnunulia cherehani ni kosa?
au ningemnunulia mzani wa kupimia uzito
awe anazunguka nao mitaani?
vinginevyo asubiri mwakani nikipata hela nianzishe mradi wa choo cha kulipia halafu awe anasimamia huo mradi.
siku zote biashara mnazozidharau ndio watu wanatajirikia!

Ha ha ha ha 😂😂😂😂😂😂😂
 
Hana akili huyo, kwani hata kama kwa elimu aliyonayo anaona cherehani hakimfai, kwanini asiajiri mtu akaanza kutafuta tenda za ushonaji? Watu wangapi wametajirika kwa ushonaji? Hana akili ya utafutaji huyo.
 
Hii zawadi sio mbaya, ila tatizo linakuja je uliwahi kukaa nae hata ukamuuliza interest zake nje ya kuajiriwa? Then japo mkashauriana juu ya hilo suala la ushonaji? Maana kwakweli ni biashara ambayo inalipa sana ukiwa nayo serious. Sasa wewe umekurupuka tu ndipo tatizo lilipoanzia, kazi zingine zinahitaji elimu kwanza ili mtu aondokane na negativity dhidi ya kazi husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom