Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

We everlenk wala huna tabu. Jezi ya Man U tu unaridhika, au sio?

Hahhahaha ulijuaje ila itabidi uilete ile kali ambayo si ya hapa ili kila nikiivaa watu waniulize umetoa wapi ? Baada ya hapo mimi ndo naanza kuwaagizia kuwaletea napiga pesa,chalii wangu pesa mbele mapenzi baadaye.... au uninunulie bonge la flat screen tunafungua kibanda umiza chetu hahahhahaha......
 
Last edited by a moderator:
Opportunist hawako hivyo kila jambo kwao hulifanya liwe productivity.......huyo ni duu tu....
Mm wangu hayupo hivyo,yy nikipata mshahara ananishawishi tukalale RAMADA japo kwa siku 2!Huyu ni bure kabisa
 
Mimi mwenyew nikukubal, UA a great thinker. Hadi kufikilia kumfungulia choo cha kulipia kuda,,,,,,dek,,,,,,i. Take5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom