afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,779
nawe tumiaga akili pia....ungemuuliza...side b ni kuwa saafi umejua kuwa si wife material kama vp kula bati nawewe
Hiyo Stori Isikutishe, Jamaa Mwenywe Ajui Interest Ya Mtu Wake, Yaan " Amebugii" Tuu,, Heaven Sent Kma Mambo Ya Lishe Anayakubali, Mzawadie Tuu...Si Unajua Vitu Vingine Usimfosi Mtu Afanye Ilihali Apendi..Usije Ukanuniwa Na Ww Kma Jamaa.
Na wangu pia baby.
Aisee!!! Usijali nafanya chakato nikukabidhi card yangu ya Atm na Password kabisa uwe unajisevia tu
Hayo si ndio mambo sasa!! Fanya fasta jamani.
Usijali maana ushanikamata Mzigua mimi lakini usiku kuna kitu nakihitaji kutoka kwako
Kitu gani hicho?
Nahitaji Japo twende zetu Sehemu tukapate chakula, then hata ile ya kuning'oneza nimeimiss sana bibie
Nipe kadi kwanza, hayo mengine mpaka utakinai
Card nitakuletea Au nitamkabidhi rubii Akuletee lakini nimeimis ile kisawasawa
Nimemic kale kakinanda kako kenye lafudhi ya Kimasai.. nitampa dada lakini kuwa makini nae kwani hata yeye ni mpenda pesa kupindukiaUmemiss nini? Niletee mwenyewe au mpe wifi Apologise lady aniletee maana wewe unaweza ukatokomea kama ulivyotokomea na zile hela zangu
Nimemic kale kakinanda kako kenye lafudhi ya Kimasai.. nitampa dada lakini kuwa makini nae kwani hata yeye ni mpenda pesa kupindukia
Kwani kuna asopenda pesa dunia hii? Wacha weeee!!
Mimi sipendi pesa bali naitafuta kwa kuwa nataka kuwa na Binti Mzuri na mtamu kama wewe
Usingeipenda usingeitafuta baby, itafute kwa juhudi zote si unajua tena?
Usijali my love nitazisaka kwa Ajili Yako na daima utakuwa kama malaika katika maisha Yangu
Toooooba!!
Nina girlfriend wangu ambaye tumedumu miezi kadhaa na tumepanga kuoana pindi uchaguzi utakapomalizika!
Amehitimu chuo cha biashara tangu mwaka Jana na mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira!
Nafahamika kwa wazazi wake nae anajulikana kwetu.
Sasa jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa
sherehe ilifanyika nyumbani kwao mida ya saa 1 jioni.
Wiki moja kabla ya sherehe hiyo nilikuwa safarini nikamuahidi kumnunulia zawadi nzuri kwa ajili ya birthday yake.
Sasa hiyo jana alikuwa na shauku ya kutaka kujua nimemletea zawadi gani !
Mda ulipowadia nilienda taratibu kumkumbatia kipenzi changu na kumzawadia cherehani mpya aina ya butterfly pamoja na kuahidi mbele ya umati kuwa nitatoa gharama zote za mafunzo ya kozi ya miezi mitatu ya ushonaji ili baada ya kumaliza mafunzo aweze kujiajiri.
Lakini cha ajabu mpenzi wangu alionyesha hakufurahishwa na zawadi hiyo!
Jana usiku kanisms kwamba "umenichukuliaje mimi lakn?"
Nikampigia akasema eti alitegemea ningemnunulia zawadi ya maana kumbe hovyo!
Leo nimemtumia ujumbe tuonane hakunijibu nimejaribu kumpigia mda wote hapokei simu yangu!
Naomba mnishauri eti hiyo zawadi ina ubaya gani au ningemnunulia nini ikiwa sina uwezo wa kununua gari?!