Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Of course I know your taste, I was just testing you. Have I ever mentioned that I'm related to Aladin? well, now you know. So anything, even what you wish in your thoughts, will be delivered, Ma'.
uuuuuuh what an honor to be served by the great Aladin hihihi. Baby make sure you don't kill me with your surprises by honoring my wishes and thoughts
 
We la kufanya usimpigie tena. Hata hapo baadae akipiga wala usimpokee. Jaribu kumchunia bila kusema chochote mpaka uone ataishia wapi. Hawa wanawake huwa wanafanya hivyo kuona kama utatingishika na ukishakubali kutingishika baai jua huko mbeleni imekula kwako. Sometimes hawa wanawake wanahitahi kuona unawaburuza, atalalamika kwa muda ila utakuwa umemsaidia kumrudisha kwenye mstari. La sivyo jiandae maumivu huko mbeleni.
 
Sawa ila huyo binti angepaswa tu aipokee thn jamaa alipomtext na kumcall angeenda then amwambie hakupenda hiyo zawadi hivyo ambadilishie...alikosa hekima huyo binti.

Kwanini ambadilishie? zawadi ni.zawadi, hata kama hapendi angeweza kukodiaha hiyo cherehani akapata hela au hata kuuza akanunua anayotaka yeye. Lakini kitendo cha kupewa zawadi ukanuna ndo sielewi maana hicho ni cha bure na haikuwa lazima àkupe.
 
Kwanini ambadilishie? zawadi ni.zawadi, hata kama hapendi angeweza kukodiaha hiyo cherehani akapata hela au hata kuuza akanunua anayotaka yeye. Lakini kitendo cha kupewa zawadi ukanuna ndo sielewi maana hicho ni cha bure na haikuwa lazima àkupe.

Sawa sawa mkuu,
 
uuuuuuh what an honor to be served by the great Aladin hihihi. Baby make sure you don't kill me with your surprises by honoring my wishes and thoughts

Nuh! They won't kill you. They're just to make sure there's always a grin on your face when I'm around, or in touch. Cuz if you're happy, I'm happy.
 
Nina girlfriend wangu ambaye tumedumu miezi kadhaa na tumepanga kuoana pindi uchaguzi utakapomalizika!

Amehitimu chuo cha biashara tangu mwaka Jana na mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira!

Nafahamika kwa wazazi wake nae anajulikana kwetu.

Sasa jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa
sherehe ilifanyika nyumbani kwao mida ya saa 1 jioni.

Wiki moja kabla ya sherehe hiyo nilikuwa safarini nikamuahidi kumnunulia zawadi nzuri kwa ajili ya birthday yake.

Sasa hiyo jana alikuwa na shauku ya kutaka kujua nimemletea zawadi gani !

Mda ulipowadia nilienda taratibu kumkumbatia kipenzi changu na kumzawadia cherehani mpya aina ya butterfly pamoja na kuahidi mbele ya umati kuwa nitatoa gharama zote za mafunzo ya kozi ya miezi mitatu ya ushonaji ili baada ya kumaliza mafunzo aweze kujiajiri.

Lakini cha ajabu mpenzi wangu alionyesha hakufurahishwa na zawadi hiyo!

Jana usiku kanisms kwamba "umenichukuliaje mimi lakn?"

Nikampigia akasema eti alitegemea ningemnunulia zawadi ya maana kumbe hovyo!

Leo nimemtumia ujumbe tuonane hakunijibu nimejaribu kumpigia mda wote hapokei simu yangu!

Naomba mnishauri eti hiyo zawadi ina ubaya gani au ningemnunulia nini ikiwa sina uwezo wa kununua gari?!

Daah we kabiLa gan bhos@yan pamoja na kumaliza chuo badoo unampelekea cherehan@unexpected expect@@
 
Kwi!kwi!kwi!jaman?ni bora ungemnunulia ua angefurah kuliko hilo licherehan ungetaka ushaur kwanza jaman.mana kumnunulia hyo umemkatia tamaa kama hatoajiriwa?

zawadi ni zawadi ila inategemea. Kwa sisi waangalia movie za kikorea unaishia kucheka yaan anaweza kuleta supu lojo kwenye hotpot iyo supu kuna kiazi kiomoja na mbethideiwa anafurahi sana

Kwa wa philipino utakuta mtu kwenye besidei anamletea kipande cha ugari na mtu anafurahi

kwa wabongo (bongo movie) vx, nyumba ndo zawadi sasa hapo inabidi umsome kabla mpenzi wako ikiwezekana jaribu kumtega ivi baby huwa unapenda nn? Utapata jibu

kwa mantiki iyo mleta uzi umemsababishia mdada wa watu brain concussion. Hakutegemea ulichomleta

lastly zawadi ni zawad hata ukiletewa pipi ya kijiti it means alot.
 
Imenibidi nicheke na usomi wote umemnunulia zawadi ya chereani hata mm nisingekubali.. NA kama kuna ka bebi kangu kako humu kajue sitakagi zawadi kama izo
 
Mimi nikitoa zawadi jua ni pipi maana hawa watu wana dharau sana, ukimpa kile ulichoona ni bora yeye anadharau bora pipi
 
Hadi leo watu wazima wanasherekea birthday? Mimi naona kuna mambo ya muhimu zaidi kufanya zaidi ya kusherekea birthday. Waachie watoto
 
Duu sasa kwann usingempelekea machine za saloon ivi atleast asingesema sana angefungua saloon ila cherehan duu
 
Ndio maana naheshimu sana zawadi ya pesa, khaa!!!!!!!!!! mambo gani hayo sasa?
 
Hahaha, umenikumbusha kwenye sendoff yangu nlipewa na hela nkanunue cherehani sijanunua mpaka Leo.
Kosa lako mtoa mada ni kutomwambia mapema izo plani zako, kwamba unamnunulia cherehani ili ajifunze kushona miezi mitatu then awe fundi.Alishakuambia anapenda kua fundi nguo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom