Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

Hahaa eti zawadi ya mbele ya umati wa watu ni cherehani
ha haa....unanikumbusha enzi za Mwalimu Nyerere kwa kweli dah
cherehani cha singer....na ungeongeza na chachacha za kuvaa kabisa

Sijutii kuwa umu ndani walahi mechekaje ety chachacha
 
Ulimnunulia cherehani aina gani kati ya hizo? Maana zipo hadi za kompyuta
 
Attachments

  • 1443073205950.jpg
    1443073205950.jpg
    9.1 KB · Views: 303
  • 1443073219092.jpg
    1443073219092.jpg
    11.5 KB · Views: 263
Atakuwa anapenda vitu vya juu sana...ongea nae tu iweke akili yake sawa kwamba zawadi ni chochote..
 
Sawa ila huyo binti angepaswa tu aipokee thn jamaa alipomtext na kumcall angeenda then amwambie hakupenda hiyo zawadi hivyo ambadilishie...alikosa hekima huyo binti.

Huyo m'ume mwenyew kwnz anaonekana mtata sn maana anasema ajenge na choo cha kulipia bdada awe anakusanya ela jmn kwel!! n kumkomesha au nikusaidiana? aisee i dnt nd s'one wa kukomeshana kweny hy maisha. Nahic kaka anatakiwa awe muelewa tu. Na huyo msichna c kuwa alikosa hekima hpna ila ni alipanic hakuamn mtu wake alichomletea
 
Hapa ndiyo kuna umuhimu wa watu kujuana kiundani na kwa muda mrefu kabla ya kuamua kuoana. Hiyo miezi mliyokuwa pamoja haitoshi, hata kama wote mnamaanisha kwa dhati kuwa pamoja. Btw, nimependa ulivyosema mtafunga ndoa baada ya uchaguzi, we kada au mgombea, brother?

Nilikuwa na mpango wa kumzawadia Heaven Sent rice cooker ili afungue mama lishe ya kisasa, ila hii story imenifanya nifikirie tena.
 
Hapa Kosa Lako Kaka Ni Kutokumsoma Mapema Mpenzi Wako Anataka Nini? Hawa Mabinti Masister Duu Mala Nyingi Wanapenda Kuuza Maduka Ya Urembo, Ya Vipodozi Au Utrafiki Sasa Akashangaa Unataka Uwe Unamfanyisha Mazoezi Ya Hips Kila Siku
 
Kwi!kwi!kwi!jaman?ni bora ungemnunulia ua angefurah kuliko hilo licherehan ungetaka ushaur kwanza jaman.mana kumnunulia hyo umemkatia tamaa kama hatoajiriwa?
 
this is indeed a new one...wewe umeona yupo hana kazi..umewahi kumuuliza anaplans gani?au ni kitu gani anaweza fanya, mshauriane ili kuangalia utamsaidiaje...your gesture haikuwa mbaya, came from a good place ila ungeongea nae kwanza
 
Mkuu ungemnunulia 5.0 litre supercharged V8 Range rover na hivi Hana kazi awe anaweka maji kama wese maana utafanyaje sasa
Vitu vingine sio kisa una degree ndio sijui kazi ya cherehani sio hadhi yako
Hivi anajua ulaya kumlipa Fundi cherehani ni ghali zaidi kuliko kununua suti special ???
 
Hapa ndiyo kuna umuhimu wa watu kujuana kiundani na kwa muda mrefu kabla ya kuamua kuoana. Hiyo miezi mliyokuwa pamoja haitoshi, hata kama wote mnamaanisha kwa dhati kuwa pamoja. Btw, nimependa ulivyosema mtafunga ndoa baada ya uchaguzi, we kada au mgombea, brother?

Nilikuwa na mpango wa kumzawadia Heaven Sent rice cooker ili afungue mama lishe ya kisasa, ila hii story imenifanya nifikirie tena.
Hiyo Stori Isikutishe, Jamaa Mwenywe Ajui Interest Ya Mtu Wake, Yaan " Amebugii" Tuu,, Heaven Sent Kma Mambo Ya Lishe Anayakubali, Mzawadie Tuu...Si Unajua Vitu Vingine Usimfosi Mtu Afanye Ilihali Apendi..Usije Ukanuniwa Na Ww Kma Jamaa.
 
Hapa ndiyo kuna umuhimu wa watu kujuana kiundani na kwa muda mrefu kabla ya kuamua kuoana. Hiyo miezi mliyokuwa pamoja haitoshi, hata kama wote mnamaanisha kwa dhati kuwa pamoja. Btw, nimependa ulivyosema mtafunga ndoa baada ya uchaguzi, we kada au mgombea, brother?

Nilikuwa na mpango wa kumzawadia Heaven Sent rice cooker ili afungue mama lishe ya kisasa, ila hii story imenifanya nifikirie tena.

Hahaha babes i go kill you...You know my taste, so nazifurahia na nitazidi kuzifurahia zawadi zangu from you
 
Labda alitaka zawadi ya bendera ya chama, hata ndoa inasubiri uchaguzi upite! (kidding) Back to topic
Mahitaji ya wanawake na maono ya baadae aliyonayo mwanaume ni tofauti.Utakuta wakati wewe unawaza cherehani, gari n.k mwenzio anawaza hereni, kioo!
 
Hahaha babes i go kill you...You know my taste, so Najua ntaifurahia zawadi yangu from you

Of course I know your taste, I was just testing you. Have I ever mentioned that I'm related to Aladin? well, now you know. So anything, even what you wish in your thoughts, will be delivered, Ma'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom