GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,157
- 110,635
Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu )
Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14 Oktoba, 2023 ) Mikoa Kumi na Tatu ( 13 ) ya Tanzania ( ukiwemo niliopo wa Dar es Salaam ) tulitakiwa tuwe tunaelea katika Mito na Bahari huku Vibanda vyetu / Nyumba zetu zikiwa zimebomoka na Kusombwa na Maji kutokana na Mafuriko makubwa na ya Hatari kama ambavyo tulitaarifiwa na Kutahadharishwa ila imekuwa ni tofauti. ( Asante Mungu )
Na kwa mujibu wa Nujumu ( Kuchungulia Kwangu Kiutamaduni kwa Babu ) nimehakikishiwa kuwa hakutakuwa tena na Mvua Kubwa na ya Hatari ya El Nino na kama itanyesha itakuwa ni ile ya Kawaida tu na haitokuwa na Madhara yoyote.
Tuendeleni Kupiga Kazi kwa Amani.