Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

Na Wewe pia umeanza 'Kunukudiwa' huko 'Unyabengani 'Kwako kama Mpaji Mungu? Pole sana.
Endelea kuwashwa via vya uzazi unachokitafuta utakipata zero brain ww, kichaa chako hicho naona kinakupeleka vbya wenzako waliopo 40's wapo wanaset mambo vzr we upo bize kuentertain wanaokupiga paipu
 
Hili nikweli mia mia, Tanganyika ni Taifa la Mungu.Bali na ulinzi wa majeshi Kuna Ulinzi wa Mungu.

Ukilichezea umekwisha,kwanza Ramani yake tu amazing 😍.
 
Ni kweli,hata kipindi cha jpm nchi jilani zoote zilikumbwa na nzige,lkn kwa Tanzania zilikomea holoholo na kurudi kenya,lkn kulikuwa na kimbunga ilikuwa kilikumbe eneo loote la mafia,kilwa na dar,lkn mungu alipisha mbali.

Hivyo ni kweli,Tanzania ni nchi ya mungu,inalindwa na mungu,
Mungu katukabidhi CCM tu tuangaike nayo
 
Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu )

Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14 Oktoba, 2023 ) Mikoa Kumi na Tatu ( 13 ) ya Tanzania ( ukiwemo niliopo wa Dar es Salaam ) tulitakiwa tuwe tunaelea katika Mito na Bahari huku Vibanda vyetu / Nyumba zetu zikiwa zimebomoka na Kusombwa na Maji kutokana na Mafuriko makubwa na ya Hatari kama ambavyo tulitaarifiwa na Kutahadharishwa ila imekuwa ni tofauti. ( Asante Mungu )

Na kwa mujibu wa Nujumu ( Kuchungulia Kwangu Kiutamaduni kwa Babu ) nimehakikishiwa kuwa hakutakuwa tena na Mvua Kubwa na ya Hatari ya El Nino na kama itanyesha itakuwa ni ile ya Kawaida tu na haitokuwa na Madhara yoyote.

Tuendeleni Kupiga Kazi kwa Amani.
Unajua hata miimi nimekuwa nawaza kwa njni hii tabiri ya funga mwaka ya Hali ya Hewa hakujatokea hata robo ya dalili? Na sasa Dar hakukaliki kwa joto jema linalounguza nyayo badala ya utosi.

Kabla ya tishio la kimbunga jobo kulikuwa na matishio ya vimbunga kadhaa huko nyuma na hakuna kilichowahi kupenya.

Hata itokee ukame namna gani lakini bado ardhi yetu inafaa kwa kilimo.

We mzee, umewaza nini kutuletea huu uzi maana dah, kumbukumbu zinafunguka
 
Katika Ulimwengu wa Roho, Nyikani ndiyo imeibeba Dunia,

Ni lango la baraka au LAANA Kwa Dunia,

Baada ya Israel kumkataa Yesu, Tanga yika iliteuliwa kuwa Taifa la AGANO la mwisho.

Hili ni Taifa la Amani, Dunia nzima itapata usalama na kimbilio Nyikani, Nchi hii itatengwa kama kisiwa, Mahali pa kujificha wakati Dunia itakapokuwa vitani na kutumika silaha za hatari.

Siku Si nyingi, tetemeko litatokea litakaloitenga Nyikani na mataifa mengine, litakuwa kama kisiwa, na bara.

Na Ule msemo wa "Kisiwa Cha Amani utatimia"

Umebarikiwa na Mungu Nyikani. Amen
 
Back
Top Bottom