Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM. Je, sisi wapinzani tutanufaika 2025?

Komredi mataga upuuzwe
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
 
Mkuu vyama vyote Duniani wanachama wao kamwe hawawezi kukuosa makundi. Hivyo ndani ya CCM kuna makundi na siyo mpasuko. Tangia CCM kikiwa chama pekee bado kulikuwa na makundi. Kulikuwa na kundi lilikuwa likimpinga Nyerere kwa kufuata mfumo wa ujamaa...
Makundi sio mpasuko
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Hakuna chama kisicho na mpasuko,hata wewe famikia yako ina mpasuko

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Ww sio mpinzani, labda ujiunge na hicho chama bortion kinachoanzishwa na ccm kwa kushirikiana na Tiss. Na kwa taarifa yako wapinzani hususan cdm hawategemei kushinda uchaguzi wowote hadi ccm wagawanyike.

CHADEMA huwa inapata ushindi hata CCM wakiwa wamoja, ila huwa wanaporwa ushindi wao na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Hiyo 2025 hakuna mpiga kura anayejitambua atajitokeza kupiga kura bila tume huru ya uchaguzi, hata kama vyama vyote vya upinzani vitakubali kushiriki.
 
Huyo magu alikuwa kiongozi muovu, huo ndio ukweli ambao haukwepeki. Hizo kura zenu watu mliokuwa mnamkubali wapeni vyama vinavyomsifu, au hakikisheni hicho chama kipya kinaanza mkipe kura.
Upinzani fanyeni Jambo moja tu tena dogo mtafanikiwa Sana acheni kumponda Magufuli hapo mtashangaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ww sio mpinzani, labda ujiunge na hicho chama bortion kinachoanzishwa na ccm kwa kushirikiana na Tiss. Na kwa taarifa yako wapinzani hususan cdm hawategemei kushinda uchaguzi wowote hadi ccm wagawanyike. Cdm huwa inapata ushindi hata CCM wakiwa wamoja, ila huwa wanaporwa ushindi wao na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Hiyo 2025 hakuna mpiga kura anayejitambua atajitokeza kupiga kura bila tume huru ya uchaguzi, hata kama vyama vyote vya upinzani vitakubali kushiriki.
Sina muda wa kuwajibu wapuuzi kama wewe.
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?

tatizo lenu mnagombana na mtu aliekata moto mapema,

2) mnaweza mgombea anaelezea simanzi badala ya kazi, tayar tuna matatizo na malalamiko mengi how comes unaleta mgombea wa kutuongezea matatizo
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Mpasuko ndani ya CCM bila Katiba Mpya hauwezi kuwabeba.
 
Watachukulia advantage ya kutushinda wakati wakati hatushiriki, sasa hapo wanatushindaje? Kwa taarifa hata hao wapinzani kutokushiriki ni ushindi tosha maana hata wapiga kura wanazidi kuwa wachache na kukikosesha ccm uhalali wa umma. Unapokosa uhalali wa umma ni rahisi sana kutolewa kwa machafuko, kwani itabidi utawale kwa mabavu zaidi kuliko ushawishi.

Rejea mikutano ya viongozi wa sasa wa sasa kama wenyeviti, madiwani, mbunge nk, mingi imepuuzwa kwani ina mahudhurio hafifu sana ya watu, na inayojaza kama ya rais, inatumika gharama kubwa na shuruti ili watu kuhudhuria mikutano yake.

Kwakuwa CCM haiwezi kushindana tena kwenye box la kura, kwake inashukuru wapinzani kususia ili iendelee kupata ushindi wa bwarere, lakini bila kujua hali hiyo inatoa mwanya wa kupinduliwa ili kupatikana mabadiliko yanayotakiwa na umma.

hata chadema nao kubadilika na kuondoa migogoro pia ndani ya chama,hamtakua na nguvu kushinda Kama ile ya 2010 na 2015 mtabaki kulaumu tu na hivi Kila uchaguzi mnasusia mtasusia Hadi huo uchaguzi mkuu...
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Bila tume huru au katiba mpya ni kupoteza muda sawa na kuoga na kurudi kwenye tope.

CCM wako kwenye level ambayo hawategemei tena kura za wananchi,hatua ya kutegemea kura walishaivuka kitambo. Tegemeo lao ni nguvu ya dola,bila katiba mpya mtapasuliwa tena...hamjifunzi tu! Au mna funza vichwani?
 
Tayari mpaka sasa kuna wanaCcm wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili

Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
MiCCM ikijigundua inapasuka hukaa na kugawana maslahi basi tena!
 
Back
Top Bottom