Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Kwahiyo kama uliumia wewe na yeye ataumia? Ulivyoumia maisha yalisimama? Huko huko ndo unakuwa strong!
mmi naona ajaribu kumpimia kwa mbali i.e ajiingize mdogo mdogo akiona jamaa hasomeki ale zake kona na sio kumchania live kuwa ANAMPENDA.
mimi THE FINEST alinitosa nikaumia utadhani ni REAL LIFE
 
mmi naona ajaribu kumpimia kwa mbali i.e ajiingize mdogo mdogo akiona jamaa hasomeki ale zake kona na sio kumchania live kuwa ANAMPENDA.
mimi THE FINEST alinitosa nikaumia utadhani ni REAL LIFE


Pole sana ndio maisha, sio lazima umpendae au umtakaye akupende au akutake.

Kwani wewe hujawahi dis mtu? huwa unawaza ukimdis atajisikiaje na efforts zote alizotumia kukusarandia?
 
Umeona eeeh Dearest? ngoja tuweke group discussion tulivalie njuga! lol... Hi.

Mi ndo nimeweka kambi hapa, mpigie mrembo wetu na jasiri wa kirusi anaitwa RR....sidhani kama hili litamshinda....!

Mtumie RR PM wakati tunafikiria option nyingine Egyps.....akitaka malipo tutampa kuliko uumie kwa nafsi yako....!
 
Ahhh tumechoka kusubiri atajwe wala hatajwi bana
aaahhh haya bana

naomba uwe mvumilivu Mr Rocky kama nilivyokuwa mvumilivu kwa muda mrefu mpaka nimeamua kulisema hili
Kuna watu wananipa advice kidogo ,Then nitarudi na majibu hapa kama nilivyoanzisha thread
 
Nipo Ashadii ni vile majukumu na huyu kaka kila nikiingia JF na kumkuta basi naridhika na kusign out ,
Tatizo hajui hili

dada mwambie yaliyo moyoni...... inawezekana na yeye anahisia kama zako etiii:lol:
 
naomba uwe mvumilivu Mr Rocky kama nilivyokuwa mvumilivu kwa muda mrefu mpaka nimeamua kulisema hili
Kuna watu wananipa advice kidogo ,Then nitarudi na majibu hapa kama nilivyoanzisha thread

Haya dear wacha niwe mvumilivu na kusubiria mhusika atajwe
Hapa viroho vya wanaume vinadunda kujua aliyepata nafasi ni nani huyo
 
mmi naona ajaribu kumpimia kwa mbali i.e ajiingize mdogo mdogo akiona jamaa hasomeki ale zake kona na sio kumchania live kuwa ANAMPENDA.
mimi THE FINEST alinitosa nikaumia utadhani ni REAL LIFE

Ha ha ha haaaaaaaaaa, pole sana Marytina....wewe na TF ni viumbe wawili tofauti sana....hata Mungu anasema nitakupatia mwenzi wa kufanana nawe....wewe na TF,hamna ufanano kabisa....lol...anayetafuta hachoki,akichoka kapata......!
 
Wapenzi hii PM nimeshaiandika fupi lakini ya kueleweka nalog off ,nitarudi pale tu nitakapopata majibu ya kuridhisha ,mkiona kimya mjue my secret admirer kishanitosa.Lakini nitawaambia
Baadae
 
Unikubalie eeeeee,unikubalie kaka,unikubalie eeeeeee,unikubalie kaka
ninachokitaka kwako wewe ni kauli yako tu,sema roho itulizane,hatakama hunipendi bora kunidanganya ili roho itulieeeeee,(nikubalie,aaaah kaka sema tu),

ooooooooooooooooh

nifahamishe kaka weweee,mawazo yako niyajue na kauli yako nisikie,nisipate taabu kwa ajiri yako weweeeeeee

madhara yake yanajulikana,yanajulikana,nifahamishe kaka

MPE KITU HAPO JUU LAZIMA NAE ATAFUNGUKA TUUUUUUUUUUU
 
Ha ha ha haaaaaaaaaa, pole sana Marytina....wewe na TF ni viumbe wawili tofauti sana....hata Mungu anasema nitakupatia mwenzi wa kufanana nawe....wewe na TF,hamna ufanano kabisa....lol...anayetafuta hachoki,akichoka kapata......!
kwa hiyo wewe unaungana na THE FINEST kunikataa??
acheni kunibania nina haki ya kumpenda na alikuwa na wajibu wa kunikubalia
 
Dada mtemee cheche...usichelewe sana kwa kua yumkini naye anatafuta mwanya wa kukupasukia...mwambie tu usiogope!
 
Wapenzi hii PM nimeshaiandika fupi lakini ya kueleweka nalog off ,nitarudi pale tu nitakapopata majibu ya kuridhisha ,mkiona kimya mjue my secret admirer kishanitosa.Lakini nitawaambia
Baadae

Na kama umeandika ooh mie tangie niingie JF navutiwa na Muonekano na Post zako
Nahisi dalili ya Kupigwa Chini..
Habari za Mchana xzzzzz naona unapenda sana mambo ya Siasa ,Je unania ya kugombea 2015 napenda kuwa mpambe angalau na mie nianze kujikita kwenye Siasa zaidi..
hapo mfululizo wa maongezi yenu utakuwa ooh Jimbo la Arumelu tunataka lichukuliwe na.......
Nape sijui kafanya nini...
Kikwete azindua daraja...
Mgomo wa madakitari waitisha serikali.....
Mwisho wa siku unasepa......
 
Wapenzi hii PM nimeshaiandika fupi lakini ya kueleweka nalog off ,nitarudi pale tu nitakapopata majibu ya kuridhisha ,mkiona kimya mjue my secret admirer kishanitosa.Lakini nitawaambia
Baadae

Tunasubiri...
 
Bi mdada we ni adimu kweli yaani, mpaka umefunguka hivi kweli
mapenzi yamekufika... I wish jamaa angejua; ana deserve kwa kweli.

Sikutegemea kama Avatar yangu itamzingua kiiiivyo!!!
 
FL1 we k mkaliiiii mamy

Na kama umeandika ooh mie tangie niingie JF navutiwa na Muonekano na Post zako
Nahisi dalili ya Kupigwa Chini..
Habari za Mchana xzzzzz naona unapenda sana mambo ya Siasa ,Je unania ya kugombea 2015 napenda kuwa mpambe angalau na mie nianze kujikita kwenye Siasa zaidi..
hapo mfululizo wa maongezi yenu utakuwa ooh Jimbo la Arumelu tunataka lichukuliwe na.......
Nape sijui kafanya nini...
Kikwete azindua daraja...
Mgomo wa madakitari waitisha serikali.....
Mwisho wa siku unasepa......
 
hahaha.... kaka mimi naona hapa unakwepa tu! Alafu umemuudhi nini smile.... Smile ha smile anymore.
Smile naye leo kabanwa na shughuli za hapa na pale. She is always happy and smiling as her name depicts!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom