Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
:A S-coffee:
(Hakikisha RR ana vitabu vya risiti vya kutosha):A S-coffee:
:A S-coffee:
Msiposifiwa mnanuuuna!!
Mmmmhhh... hapa ngoja nisimwage unga,,,unawezakuta subordinates wangu ni wana JFHebu tone unavyodanganyaga Rejao... Please hua waongopa nini? lol
aunt jamani, kwani kuna ubaya?
Naweza nikawa ni mimi! Ngoja tumwache aendelee kufunguka!!
Kama kuna watu wanajua kukataa huyo ni bingwa maana anatoa na ushauri nasaha tehe tehe tehe, kuappeal inakuwa kazi. We acha AshaDii, ukisikia mtu anateseka kwa ajili ya mtu kama havungii basi jua yupo katika wakati mgumu.hahaha.... Nina imani hujakata tamaa kugombea tena! lol.... Unajua tena kama kiti kinfaa lazima ufurukute!
naona mapenzi yanapeleka watu Puta,
Avatar na maandishi tu yanaleta mvuto kwa EW,
pole sana jaribu kujikita kwenye siasa labda utamnasa ...AD akusaidie maana yeye ni mchangia popote
Alafu wewe!! Nakutafuta.... Nasikia unataka niletea mkwe mzungu? Khaaa!
maisha ni kutafuta....usiiachie opportunity yoyote ikupite..unaweza ukaidivert bahati ikaja upande wako!!Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi...
hahaha.... FL1 karibu kinywaji.... Nimeletewa Amarula hapa, utapenda?
Mmmmhhh... hapa ngoja nisimwage unga,,,unawezakuta subordinates wangu ni wana JF
we acha tu mwana.
Mi sinaga kabisa haya mazali, sio kitaa wala online.
Aaagh!
Paw mwenyewe sijui umemfichia wapi...haonekani kabisa!!!Wakikuzingua nawambia Paw awa Bun! usiogope.