Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Mh hii thread imenifurahisha,natamani atajwe halafu unajua kupendwa ni raha,
Nipo Ashadii ni vile majukumu na huyu kaka kila nikiingia JF na kumkuta basi naridhika na kusign out ,
Tatizo hajui hili
Dear Egyps Women,
PM yako nimeipata, nami bila hiyana nimeridhia ombi lako.
Sioni sababu yoyote ya kuacha moyo wako uendelee kuteseka, wakati ninao uwezo wa kurejesha furaha katika maisha yako.
Naamini nimeumbwa kwa ajili yako, nawe utakuwa umeumbwa kwa ajili yangu. Bila shaka ni mpango wa Mungu kutukutanisha hapa JF.
Nawashukuru sana wale wote mliojitolea kwa hali na mali kumpa ushauri hadi EW akaamua kufunguka na kuniandikia PM. Nawapa pole wale jamaa zangu wote waliojaribu kujipendekeza lakini wameambulia za uso. Naomba kuanzia sasa tupeane heshima kama kawaida yetu, kwa kuwa nafasi iliyokuwa wazi sasa imepata mwenyewe!!😛oa
Naomba mungu nisimzimikie kiumbe yeyote humu. Lol.
Mdada we jilipue tu, akikataa basi.
It is not the falling we know...by mechanical means! This is more than that and sometimes difficult to control. What I don't understand is why have I to fall to a person I don't know?
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
Mmmhhh?huyu atakuwa jamaa mmoja anaitwa EMT tu
Dear Egyps Women,
PM yako nimeipata, nami bila hiyana nimeridhia ombi lako.
Sioni sababu yoyote ya kuacha moyo wako uendelee kuteseka, wakati ninao uwezo wa kurejesha furaha katika maisha yako.
Naamini nimeumbwa kwa ajili yako, nawe utakuwa umeumbwa kwa ajili yangu. Bila shaka ni mpango wa Mungu kutukutanisha hapa JF.
Nawashukuru sana wale wote mliojitolea kwa hali na mali kumpa ushauri hadi EW akaamua kufunguka na kuniandikia PM. Nawapa pole wale jamaa zangu wote waliojaribu kujipendekeza lakini wameambulia za uso. Naomba kuanzia sasa tupeane heshima kama kawaida yetu, kwa kuwa nafasi iliyokuwa wazi sasa imepata mwenyewe!!😛oa
up to know no any news from this man ..ooh no!
kesho asubuhi natoa majibu
halafu nilikuwa nahisi ni wewe Ndahani
unaezungumziwa hapa..
shabashhhh, ingekuwa enzi zangu, ningempigia mbizi
up to know no any news from this man ..ooh no!
kesho asubuhi natoa majibu
Mmmh Shem kumbe ni wewe? Hongera
up to know no any news from this man ..ooh no!
kesho asubuhi natoa majibu
Ulivyoandika vzur utadhani ni wewe kweli, kumbe ni mimi! Angalia signature yangu.
up to know no any news from this man ..ooh no!
kesho asubuhi natoa majibu
naomba uwe mvumilivu Mr Rocky kama nilivyokuwa mvumilivu kwa muda mrefu mpaka nimeamua kulisema hili
Kuna watu wananipa advice kidogo ,Then nitarudi na majibu hapa kama nilivyoanzisha thread
Haya dear wacha niwe mvumilivu na kusubiria mhusika atajwe
Hapa viroho vya wanaume vinadunda kujua aliyepata nafasi ni nani huyo