Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

avatar yenyewe umeweka kijiko
sijui mjenzi wa barabara au mine manager

weka ma-avatar ya kufa mtu, sijui akina nani nani.
Ila unapendwa ivo ivo, afu huwa husomeki kiaina.
It can't be The Boss. Matatizo yangu kawaida ni madogo madogo, hayana mvuto kwa kina dada kabisaa. Kawaida natumia msuli sana hata kupata walau salamu tu, ndo iwe kudondokewa?
 
naomba uwe mvumilivu Mr Rocky kama nilivyokuwa mvumilivu kwa muda mrefu mpaka nimeamua kulisema hili
Kuna watu wananipa advice kidogo ,Then nitarudi na majibu hapa kama nilivyoanzisha thread

Loh! Kaaz kwel kwel!
 
Mh hii thread imenifurahisha,natamani atajwe halafu unajua kupendwa ni raha,

Kupendwa kuna RAHA yake Mama! Bt Refar na kutoswa napo kupo.
Ukiupenda Mchana refar na usiku upo !
Ukiipenda baridi rejea na joto lipo !
 
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......

Kan ww ni jinsia gn kabla sijakuambukiza maujanja ya kumwa-approach?
 
Habari zenu waungwana ,Ni siku nyingine tena imeanza nikiwa na huzuni tele hasa baada ya kuuufunua moyo wangu na kupata haya majibu toka kwa mhusika ...(Niseme tu Kabila lake ni mchagga)
Nimepokea majibu kutoka kwa mhusika ,na ameomba sana nisimtaje ,kwani yeye na ubavu wake wote wako JF na PM wife anachungulia .
Anashukuru sana nimeweza kumwambia jambo hili,Anasikitika sana kwani nafasi yake iko full ingawa kasema amejisikia faraja kuona anapendeka yeye kama mwanaume ,anasikitika kwa hili na amesema hana uwezo wa kunisaidia ,nisife moyo kwani haya mambo hutokea katika maisha na mwisho wa siku nitamsahau ,otherwise ananitakia mafanikio mema katika maisha yangu ya Uraiani na JF kwa ujumla.
Mwisho wa kunukuu.
Nawashukuru wote mlionipa ,
Nalog off till further notice ..:A S embarassed:
 
nilijua tu atakuwa mchaga
wachaga for life,
 
hahahah Smile wachagga wana nini kwani maana JF kila siku siishi kuona Sread ya wachagga
hebu nipe siri ya mafanikio yao
wapo so special toka unywele hadi unyayo shosti.jaribu uone.acha kutangatanga gizani.njoo utembee katika mwanga bora
 
Smile bwana nishachelewa mie ..na siruhusiwi kuwa na small house ...lakini itabidi nitembelee mitaa hiyo Moshi au Arusha angalau nifanye evaluation ya haya ninayoyaona JF laah damu zenu bwana sijui zina nini vijana wa Mangi Meru ,mangi Sina sijui na mangi nani vile...ama ndo maana kila Dec lazima mrudi home
 
Wa kike na wa kiume au wote? Maana sichoki kusikia wako lawamani. kama sio kwa kuwa na pesa zilizo wazidi basi kwa kunywa mpaka kupitiliza au kutojua kusema "I love you baby".
 
karibu sana.hv unajua kwanini wanarudi hom dec?
 
Wa kike na wa kiume au wote? Maana sichoki kusikia wako lawamani. kama sio kwa kuwa na pesa zilizo wazidi basi kwa kunywa mpaka kupitiliza au kutojua kusema "I love you baby".

I love you baby
 
Habari zenu waungwana ,Ni siku nyingine tena imeanza nikiwa na huzuni tele hasa baada ya kuuufunua moyo wangu na kupata haya majibu toka kwa mhusika ...(Niseme tu Kabila lake ni mchagga)
Nimepokea majibu kutoka kwa mhusika ,na ameomba sana nisimtaje ,kwani yeye na ubavu wake wote wako JF na PM wife anachungulia .
Anashukuru sana nimeweza kumwambia jambo hili,Anasikitika sana kwani nafasi yake iko full ingawa kasema amejisikia faraja kuona anapendeka yeye kama mwanaume ,anasikitika kwa hili na amesema hana uwezo wa kunisaidia ,nisife moyo kwani haya mambo hutokea katika maisha na mwisho wa siku nitamsahau ,otherwise ananitakia mafanikio mema katika maisha yangu ya Uraiani na JF kwa ujumla.
Mwisho wa kunukuu.
Nawashukuru wote mlionipa ,
Nalog off till further notice ..:A S embarassed:

Pole EW wewe unalog off wakati Babu Asprin anaweza kuponya majeraha ya moyo wako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom