Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,352
Si kwakua hauogi kisa unangalia wanaume wenzako wanavyoingiza cku.
kwa hiyo nikirekebisha ratiba yangu ya kuoga mpango mzima?
Si kwakua hauogi kisa unangalia wanaume wenzako wanavyoingiza cku.
hahaha.... FL1 karibu kinywaji.... Nimeletewa Amarula hapa, utapenda?
dear unamdanganya2012 is the year of breakthrough....be open girls and live in positive expectation....please tell it like it is Egyps.....!
AshaDii dear,encourage her to show the way.....she do better....life will go on no matter what....!
Mie nitapenda japo apite kwenye thread hii aone tu kama kuna mtu anahangaika kimawazo juu yake ...
nahisi nikimtumia PM anaweza kukaa kimya asiijibu ...
Kama kuna watu wanajua kukataa huyo ni bingwa maana anatoa na ushauri nasaha tehe tehe tehe, kuappeal inakuwa kazi. We acha AshaDii, ukisikia mtu anateseka kwa ajili ya mtu kama havungii basi jua yupo katika wakati mgumu.
Sweetie, bora umeona, mi pia nimeona hapa itabidi jioni ajieleze vizuri., mambo ya 'kizungu' kayatoa wapi lol
unibakishie na mie kidogo AD. mwenzio leo nahamu ya kumchokoza mutu!
Paw mwenyewe sijui umemfichia wapi...haonekani kabisa!!!
Hii ID(Rejao) ina goodwill kubwa sana!haitakiwi kujulikana au hata kuhisiwa itaumiwa na nani!!
duh!!!mijanaume inapenda kupendwa!!!!dada mjanja sana huyu..post yake inakuwa popular by the minute....
2012 is the year of breakthrough....be open girls and live in positive expectation....please tell it like it is Egyps.....!
AshaDii dear,encourage her to show the way.....she do better....life will go on no matter what....!
jaribu kuwasiliana na mod wa jukwaa hili, nadhani he is a gentlemen enough not kudhani ni ukuwadi.
AD yaani umefanya mate yangu yameanza kudondoka saa ngapi inafunguliwa ?
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
dear unamdanganya
mimi ilishanikuta hiyo hali nikajichanganya kumwambia kilichofwataa....................... niliumia sana
Rejao sio wewe ...yeye hayuko active sana na JF mara nyingi sijui huwa anaingia usiku huyu ....
Unachelewa am telling you.... Nishaanza hapa mdogo mdogo na Chauro....
Lol asante na mie nimepata hamu ya kufunguka mwenzio........sema suuu hutonichapa lakini .