Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,101
- 24,358
umenena vyema ni mtazamo wako.Kwamba wewe unajitoa hauhusiki kwenye kuchagua viongozi?
Hili la TTCL sio la Magufuli, hili ni suala la nchi kupenda kutumia vyakwetu kuliko vya nje.
Mi sijaona kosa hapo. (Ni mtazamo wangu)
kuna mtazamo wa sheri,FAIR COMPETITION ACT, NA MAHAKAMA YAKE IPO UBUNGO PLAZA, FAIR COMPETITION TRIBUNAL, ni kosa, na haikubaliki.
mwishowe mtaaambiwa kila mtu anunue bidhaa kwa mjumbe wa CCM