Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,507
- 11,740
Kwa utawala huu si Ajabu.Siogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
