Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Hawa jamaa nadhani wamemtafsiri Rasi wa donor country vibaya.
Yeye alimaanisha wale wote wanaolipiwa airtime na serikali.

Ila hawa uvccm waliopewa amdaaka wanakurupuka ili kutafuta headlines
 
Tukiachana hayo ya kulazimishana, still TTCL wanavifurishi cheap sana ila ni TTCL- TTCL.
 
Ukitaka kuwakomesha....unasajili unaitumia kuanzia saa 1:30 asb - 9:30 alasiri. Baada ya hapo unalizima li line lao unaendelea na line zako zingine
Bado hakuna ulichosaidia
Tukubali tu kwamba this time tumekanyaga ulimbo haina haja ya kuruka ruka
 
sasa ukishatumia siku nzima JPM si anakuwa amefanikiwa?
na bado mpaka mjue kufanya uchaguzi wa viongozi vizuri
Kwamba wewe unajitoa hauhusiki kwenye kuchagua viongozi?

Hili la TTCL sio la Magufuli, hili ni suala la nchi kupenda kutumia vyakwetu kuliko vya nje.

Mi sijaona kosa hapo. (Ni mtazamo wangu)
 
hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiot
 
Hii inafanya kazi kama unalipiwa kwa hela za US govt ila kama unajilipia toka other sources sio audit query. Sasa hizo line watatupa na vocha? Jpm alitaka wale wanaolipiwa hela za mawasiliano ndo wawe na laini za ttcl

May be. Tatizo nadhani ni kuyazungumza hadharani na kisiasa zaidi. Kwa kufanya hivyo hata hizi kampuni za kigeni anajisikia unhinged wakati kuna raia wanazo hisa; ametoa ujira nyingi na kuchanga pa to la taifà. Hili kwa mfano, lingeweza tu kufanyika kiofisi kwa maandishi. Ndiyo maana Mzee mmoja alipata kuandika: kama hujui utawala usitafute uongozi!
 
hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiot
Kubali mawazo yaliyo tofauti na mawazo yako.

Hakuna sababu ya kuniita idiot mi nimetoa mtazamo wangu tu wala sijakulazimisha uamini ninachoamini.

Ni mimi idiot nitanunua TTCL it's Okay
 
Tatizo liko wapi hapo? Kama tuna nia ya kweli ya Kuliinua Shirika letu la Simu na Kuliwezesha na Kulipa Hadhi yake kuna tatizo gani Wateja wake wengi wakiwa ni Watumishi wa Serikali ambao wanaweza wakawa wanazitumia hizo ' Line ' hasa kwa Shughuli zao za Mawasiliano ili mwisho wa Siku gharama zirudi huko huko Serikalini na hizo Pesa zitumike katika Kuliboresha zaidi Shirika na Faida yake ambayo baadae hutolewa kuwa ' Gawio ' Serikali Kuu iweze Kutumika katika Kufanya mambo mengine ya Kimaendeleo kwa nchi yetu hii? Hivi Watu wengine huko Shuleni au Vyuo Vikuu mlienda Kusoma kweli au Kujifunza tu namna ya Kuvuka Barabara na Kutawaza Maliwatoni?
Mambo yakoje TANESCO (eleza kwa kifupi)
 
hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiot
Kuoa wataambiwa waanze chato, wakiisha ndio waoane themselves!!
 
Watu wanadanganyana sana na kujifanya wana harakati. Hawajiulizi kuna watu wenye uzito walishindwa wenyewe kupambana na serikali itakuwa tu hawa walalahoi...uzito wa unyoya.

Mwache afungwe mota tu aje kupiga marktime na graduates.
 
Kwamba wewe unajitoa hauhusiki kwenye kuchagua viongozi?

Hili la TTCL sio la Magufuli, hili ni suala la nchi kupenda kutumia vyakwetu kuliko vya nje.

Mi sijaona kosa hapo. (Ni mtazamo wangu)
Hakuna mtu asiyependa vya kwake. Tatizo ni serikali kulazimisha watu watumie TTCL badala ya TTCL kushawisi watu wazitumie huduma za TTCL. Kwa serikali kulazimisha watu itawafanya TTCL wasione haja ya kubiresha huduma zao wakitegemea watumshi watatumia tuu kwalazima. Lakini pia mashirika binafsi yataweza kufilisika tukakosa vyote kodi na huduma ambazo TTCL haiwezi kuzitoa
 
Uko sahihi mkuu.

Naamini wataboresha huduma zao tuwaunge mkono tu.
 
Rudini nyumbani kumenoga. Pata vifurushi vya bei nafuu kabisa ukiwa na mtandao wetu wa TTCL.
 
Attachments

  • Screenshot_20190530-091703.png
    Screenshot_20190530-091703.png
    17.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20190530-091718.png
    Screenshot_20190530-091718.png
    18.5 KB · Views: 18
Back
Top Bottom