Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Intumika popote kasoro kuzimu tu mkuu. Ijaribu TTCL uone raha yakeTeh teh waweke bundle za bei rahisi basi.........
Hivi TTCL unaweza kuitumia nje ya nchi? Roaming?
Intumika popote kasoro kuzimu tu mkuu. Ijaribu TTCL uone raha yakeTeh teh waweke bundle za bei rahisi basi.........
Hivi TTCL unaweza kuitumia nje ya nchi? Roaming?
Huduma zimeboreka kwa kiwango kikubwa mno. Hivi sasa TTCL inapatikana nchi nzima kwa bei nafuuUko sahihi mkuu.
Naamini wataboresha huduma zao tuwaunge mkono tu.
Unazungumzia hisia. . Karibu uone maajabu na mapinduzi makubwa ya DataWanatapa tapa ..sasa ttcl kwa huduma zao wakiongeza wateja si ndio itakuwa picha ya MB una download dakika ..maana kuna maeneo network yako still inasoma E
Akiwamaliza wapinzani atawarudia. . . .hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiot
TTCL ya sasa ni tofauti ya miaka mitano iliyopita.Huduma zimeboreka kwa kiwango kikubwa mno. Hivi sasa TTCL inapatikana nchi nzima kwa bei nafuu
Kilichobaki ni watumishi kusema hawana simu za matumizi ya kazi za serikali, unless wapewe bure na serikali na wawekewe airtime kama mashirika ya kimataifa yanavyofanya.Aiseee!!!
Hizi ni dalili za kufikia nchi ya uchumi wa kati!!!!
Hakika Mkulu ni mbinufu na anaweza!
Private sector mpo?
Alafu hapa naomba kuuliza,kutatungwa sheria ya kulazimisha watumishi kuweka muda wa maongezi kwenye hizo line?!!!
Na je,watakuwa wanafuatilia kujua kila mtumishi kaongea jambo gani ili kujua kama katumia line sahihi au laa?
Na je,sheria za nchi zinaruhusu hii kitu?
Na mtumishi ambae atatumia line ya simu za makampuni binafsi kufanya mawasiliano ya simu kwa shughuli za kiserikali, atakuwa amevunja sheria gani ya nchi au taratibu ipi ya utumishi wa umma?
Nilijua tayari unayo mkuuKubali mawazo yaliyo tofauti na mawazo yako.
Hakuna sababu ya kuniita idiot mi nimetoa mtazamo wangu tu wala sijakulazimisha uamini ninachoamini.
Ni mimi idiot nitanunua TTCL it's Okay![]()

Ninayo mkuu sio utani pia ninazo laini zingine.Nilijua tayari unayo mkuu![]()
Hakuna aliyelazimishwa watu wamehimizwa kuikumbuka kampuni ya nyumbani.Watu wazima wasomi na raia huru kuanza kulazimishana mpka kwenye matumizi ya simu naona kuna ukakasi hapo
Kuitumia TTCL kwa hiari yako ni vizuri sana ila tatizo nipale unapolazimishwa kuitumia. Wangewalazumisha wale wanaowalipia muda wa maongezi na simu zote za ofisi za serikali ziwe za TTCL ila sisi wengine watushawishi tuache tuone sababu sio amri tuuNinayo mkuu sio utani pia ninazo laini zingine.
Kwanza TTCL iko cheap sana upande wa dakika na data sasa naanzaje kuikosa
Na Magufuli alisema viongozi wa serikali sidhani kama alisema watumishi wa kawaida ambao hata posho za mawasiliano hawapati.Kuitumia TTCL kwa hiari yako ni vizuri sana ila tatizo nipale unapolazimishwa kuitumia. Wangewalazumisha wale wanaowalipia muda wa maongezi na simu zote za ofisi za serikali ziwe za TTCL ila sisi wengine watushawishi tuache tuone sababu sio amri tuu


Mkuu hueleweki! Umesema hakuna alolazimishwa na pia unasema top officers ni lazima watumie!!Hakuna aliyelazimishwa watu wamehimizwa kuikumbuka kampuni ya nyumbani.
Ila wale top officials wa serikali ni lazima maana utakuta hata hela za mawasiliano wanapewa sasa kwanini wazipeleke voda, airtel au tigo ilihali kuna TTCL?
Ukitaka kujua thamani ya kutumia vya nyumbani angalia USA anavyominyana na Mchina, USA alianza kuunda zengwe kwamba Huawei wanauza simu zilizofungwa program za kidukuzi baada ya kuona Huawei ameizidi Apple kwenye mauzo.
Top officials wamelazimishwa maana wanapata posho ya mawasiliano, sisi kada za chini hakuna aliyelazimishwa na Rais.Mkuu hueleweki! Umesema hakuna alolazimishwa na pia unasema top officers ni lazima watumie!!
Afu pia kutoa mfano wa Apple na Huawei bado umechemka sana tu.
Kwan makampuni binafs sio ya nyumbani?
Kuna maelf ya watanzania wameajiriwa huko so kuua sekta binafs ni kuua wananchi wako mwenyewe!
Kama nchi ni ya wanyonge na Serikali inajali wanyonge ingeimarisha sana sekta binafs ambako wanyonge wengi ndo wanakopumulia!!
Nani kakudanganya Magufuli anafuata sheria? kuna sheria ya kusimamisha increment ya mfanyakazi? kuna sheria inaruhusu KUTUMBULIWA MFANYAKAZI KIHOLELA? Agizo la Magufuli ndio sheria. waulize wakazi wa kimara waliokwena mahakamani kupinga kubomolewa nyumba zao na mahakama ikawapa ushindi, waulize kililchowakutaUnamuogopa nani?
Sheria ya ajira na mahusiano kazini wapi imetaja lazima uwe na line ya TTCL?
Barua yako ya ajira inahicho kipengele?
Utata pia uko hapa, "....... kwa shughuli za kiserikali" kwani wananiwekea salio? Kama wanataka watoe ofa mtaalam kwa simu za watumishi. Kinyume na hapo kwa kulazimishwa zitasajiliwa halafu unatia chooni!Aiseee!!!
Hizi ni dalili za kufikia nchi ya uchumi wa kati!!!!
Hakika Mkulu ni mbinufu na anaweza!
Private sector mpo?
Alafu hapa naomba kuuliza,kutatungwa sheria ya kulazimisha watumishi kuweka muda wa maongezi kwenye hizo line?!!!
Na je,watakuwa wanafuatilia kujua kila mtumishi kaongea jambo gani ili kujua kama katumia line sahihi au laa?
Na je,sheria za nchi zinaruhusu hii kitu?
Na mtumishi ambae atatumia line ya simu za makampuni binafsi kufanya mawasiliano ya simu kwa shughuli za kiserikali, atakuwa amevunja sheria gani ya nchi au taratibu ipi ya utumishi wa umma?
True, its a praise team. Refer " yahusu kuomba kazi"Hhaahahah,,,eti praise team. Hii Kali ya mwaka