Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Hiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Nchi hii tunamatakowengi sana kwenye utendaji. Tunarudi 1981.

Zero brain.

Canine hawa.

#ChangeTanzania.
 
Unamuuliza nani?
Canine koko.
Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
 
Yaani hawana database yakujua watu wenye laini au la.Mimi ninachojua makampuni yana database ya majina au wenye namba za simu na usipotumia kwa muda wa mwaka mmoja wanampa mtu mwingine sasa TTCL wanataka majina ya nini sasa ai
Zilikuwa hazijasajiliwa kwa kitambulisho Cha taifa
 
Haina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?
Kama una account ya bank,vocha sio shida,you can buy straight from your account.Kwanza kununua
"hard voucher "ni old fashion.
 
Wakati kuna wengine hata hizo line sijawahi ziona kwa macho, vituko haviishi nchi hii kila kukicha kinaibuka kingine, karibia sasa wataanza kushona nguo kwa wafanyakazi wote wanunue hizo ili kukuza viwanda
 
Kama me ndo bosi lazima ufate ninachotaka kama hutak unaruhusiwa kuondoka
 
Kama una account ya bank,vocha sio shida,you can buy straight from your account.Kwanza kununua
"hard voucher "ni old fashion.
Maneno hayo yameanza.Bank charges analipa Nani za kununua hiyo vocha sababu ukinunua hard voucher hakuna bank charges.
 
Haina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?
Vocha unanunua hata kwa Mpesa ama Tigo pesa
 
Watumishi wa mma hamfiki 1,000,000 mkianza kujibagua na kuwa na mtandao wenu wenyewe sijui mitaani mtaonekanaje maana sasa hivi kupigiana simu ni Mtandao mmoja kwemye Mtandao huo huo sasa nyie milioni 1,000,000 mkiwa mtandao wenue na sisi 19,000,000 tukiwa mitandaoni hii mingine hamwone kwamba hawa 19,000,000 ndio watatoa biashara kubwa zaidi ya hao 1,000,000?
 
Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
Hahaha! hata wewe leo unauliza? Yehoyada kabisa? Fanya faster ukanunue laini ya TTCL ebo!!
 
Vocha unanunua hata kwa Mpesa ama Tigo pesa
Vocha za Vodacom na tigo ziko kila mahali huhitaji tigo pesa au mpesa kununua ok kwa hiyo mfanyakazi wa porini anatakiwa Kuwa na line ya tigo pesa au mpesa ili anunue vocha ya TTCL sababu TTCl pesa hawana huduma hiyo. Ukinunua muda wa maongezi wa Vodacom Kama una line ya Vodacom hukatwi charge yeyote kwa hiyo mtu wa Mpesa akinunua TTCL vocha Vodacom hawatamchaji chochote mnunua vocha ya TTCL kupitia Mpesa? TTCL wameingia nao makubaliano kuwa agents wao?
 
Back
Top Bottom