Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Hapo ndo penye shida.
You're talking about willingness then you want people to join you in your business by force. Don't be silly.

I'm pleased with your services NOT.
Lakini kwa nini unasahau kwamba kwa kuwa wewe ni mfanyakazi,TTCL inakuhusu na wewe?Hivi hujui kwamba some of the money from TTCL will be used to pay your salary.Kwa nini mnashindwa kujitambua?
 
1111325

Mawakala wa vocha wako wapi?
 
Wafanyakazi wa umma wa nchi hii ni watumwa Tu ipo siku wataambiwa wainamishane wenyewe Kwa wenyewe na watakubali
 
Nimesema "kama utajitambua,"usichukue neno moja out of context.
Unajuaje sijitambui? Context yake ni kutumia TTCL; ni lipi nililoandika linaloonyesha kwamba "sijitambui" katika kutumia TTCL?
Nisipotaka kutumia TTCL kwa huduma zake mbovu ndio unitambulishe kuwa "Sijitambui?"

Unataka kupora maamuzi yangu kwa kushinikiza nitumie ninachoona hakikidhi mahitaji yangu, na ninapofanya hivyo uniambie 'sijitambui'?
 
Leo nimefanya uamuzi mgumu wa kubadili watoa huduma wa mawasiliano kwangu.

Awali nilikuwa na line ya Tigo na Voda. Ukweli ni kuwa hawa jamaa ni wana uzushi mwingi, kuipa hela, kupoteza GB 20 kwa nusu saa.

Ukiunganisha kifurushi hakikisha hela haibaki kwenye salio wataifyeka mapema sana.

Nilishawahi fyekwa 30,000 ya mawasiliano huku naona.

Leo nimetupa line zote na kununua TTCL. Sasa TTCL imalisheni huduma mfano kutuma pesa, vifurushi vya internet n.k
 
Lakini kwa nini unasahau kwamba kwa kuwa wewe ni mfanyakazi,TTCL inakuhusu na wewe?Hivi hujui kwamba some of the money from TTCL will be used to pay your salary.Kwa nini mnashindwa kujitambua?
Inaonekana u mgumu kuelewa.
HUDUMA BORA HUWAVUTIA WATEJA KATIKA BIASHARA, SIO SIASA ZA KUUNGA JUHUDI.

Ni vema hii nguvu inayotumika kuwalazimisha wafanyakazi ingetumika kuboresha huduma tungekuwa mbali sana.

Mkuu, endelea na ligi yako ila kwangu hii ni comment ya mwisho kwako juu ya hili.

In a democratic society with open minded people, it's naturally agreeable to disagree.
Unajuaje sijitambui? Context yake ni kutumia TTCL; ni lipi nililoandika linaloonyesha kwamba "sijitambui" katika kutumia TTCL?
Nisipotaka kutumia TTCL kwa huduma zake mbovu ndio unitambulishe kuwa "Sijitambui?"

Unataka kupora maamuzi yangu kwa kushinikiza nitumie ninachoona hakikidhi mahitaji yangu, na ninapofanya hivyo uniambie 'sijitambui'?
Huyu jamaa atakuwa na maslahi na hii TTCL sio kwa juhudi hizo na povu juu.
 
Kaka huo umeuingia mkenge.
Mie kesho naitupa line ya TTCL kwa kuwa haina vifurushi huru (mitandao yote) ambavyo vinawekwa mb za kutosha.

Utakuta kila kifurushi, kiwango kikumbwa wametwaa TTCL na mitandao mingine (yote) ikipewa kiduchu. Mwisho wa siku kiwango kikubwa (TTCL -TTCL) kinasalia kwao bila kutumika.

Kumbuka kuwa watumiaji wa TTCL bado ni wachache sana.
Nitarejea siku watakapoweka kifurushi cha Mitandao yote bila kukifungamanisha na TTCL.
WANATUIBIA MCHANA KWEUPE.
 
Inaonekana u mgumu kuelewa.
HUDUMA BORA HUWAVUTIA WATEJA KATIKA BIASHARA, SIO SIASA ZA KUUNGA JUHUDI.

Ni vema hii nguvu inayotumika kuwalazimisha wafanyakazi ingetumika kuboresha huduma tungekuwa mbali sana.

Mkuu, endelea na ligi yako ila kwangu hii ni comment ya mwisho kwako juu ya hili.

In a democratic society with open minded people, it's naturally agreeable to disagree.

Huyu jamaa atakuwa na maslahi na hii TTCL sio kwa juhudi hizo na povu juu.
Najua,lakini si kwa investment kama TTCL ambayo na wewe utafaidika.
 
Inaonekana u mgumu kuelewa.
HUDUMA BORA HUWAVUTIA WATEJA KATIKA BIASHARA, SIO SIASA ZA KUUNGA JUHUDI.

Ni vema hii nguvu inayotumika kuwalazimisha wafanyakazi ingetumika kuboresha huduma tungekuwa mbali sana.

Mkuu, endelea na ligi yako ila kwangu hii ni comment ya mwisho kwako juu ya hili.

In a democratic society with open minded people, it's naturally agreeable to disagree.

Huyu jamaa atakuwa na maslahi na hii TTCL sio kwa juhudi hizo na povu juu.
Ndio nina maslahi TTCL kama na wewe ulivyo na maslahi TTCL,ila si mwajiriwa wa TTCL!Tofauti yangu na wewe ni kwamba mimi natambua wajibu wangu kama mwananchi kwa nchi yangu Tanzania.Sasa kwa kuwa Tanzania ni nchi yangu,ninao wajibu kama mwananchi kufanya anything it takes,no matter what,ili kuistawisha.

Kwaheri.
 
Aiseee!!!

Hizi ni dalili za kufikia nchi ya uchumi wa kati!!!!

Hakika Mkulu ni mbinufu na anaweza!

Private sector mpo?

Alafu hapa naomba kuuliza,kutatungwa sheria ya kulazimisha watumishi kuweka muda wa maongezi kwenye hizo line?!!!

Na je,watakuwa wanafuatilia kujua kila mtumishi kaongea jambo gani ili kujua kama katumia line sahihi au laa?

Na je,sheria za nchi zinaruhusu hii kitu?

Na mtumishi ambae atatumia line ya simu za makampuni binafsi kufanya mawasiliano ya simu kwa shughuli za kiserikali, atakuwa amevunja sheria gani ya nchi au taratibu ipi ya utumishi wa umma?
 
Back
Top Bottom