Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

Ni kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.Ukitaka financial independence, usipende pesa za bure pia.
Acha ujinga, pesa ya serikali ya vocha inatoka wapi?
Pumbavu zenu
 
Ni kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.
Kwa ufafanuzi huu kama uko sahihi. Sina shida nakubaliana Mia kwa mia.Na Sina swali wala comment.Naukubali Mia kwa Mia na Sina swali kwa Serikali Wala TTCL
 
Ni kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.Ukitaka financial independence, usipende pesa za bure pia.

Wakifanya hivyo ni utendaji wa serikali utakuwa chini sana, rais atapata shida ya kupigia simu watendaji wake bcoz most of time watakuwa hawapatikani
Kama ukiwa kwenye jengo lao la makao makuu inasoma 2g je ukiwa Kigoma itakuwaje?

TTCL bado sana wana long way to go ukitaka kuamini jaribu kununua luku kwa Tpesa uone maajabu ya Musa
 
Hiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Ili utumiwe HERI YA MWAKA MPYA na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ni furaha ilioje!
 
Haina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?
Kwani huwezi kununua muda wa maongezi kwa T-PESA?
 
Wangejitahidi kuhakikisha kuwa huduma za mawasiliano zinapatikana kila pande ya nchi, washushe garama za internet ambayo ndiyo habari ya mujini, wahakikishe vocha zipo kwa wingi hadi vijijini hapo kila mtu atavutika kutumia mawasilliano yao na hata huduma ya T PESA inasuasua kwa sababu mtandao wa mawasiliano haujaenea kila sehemu kwani huduma zote zinategemeana
 
Kwani huwezi kununua muda wa maongezi kwa T-PESA?
Mawakala wa TPesa vijijini na wilayani mikoani unajua waliko au wewe uko dar es salaam na siyo dar nje ya jiji? Nje ya Jiji la dar ulishawahi waona hao mawakala wa TPesa sura zao wanafananaje? Unakaa ofisini ulishatoka nje ya Jiji ukaona hao TPesa wakala?
 
Ukiwa huko angani huwa huangalii chini kuona kamavwapo au la huwa unakenua tu meno kuangalia angani au?
images (1).jpg

Unaongelea hawa au sura nyingine?
 
Wakati wanafanya hayo wasisahahu kuwa wateja wanafuata ubora wa huduma na TTCL wasitembee kwa mgongo wa serikali wajue huko kuna ushindaji na wako kwenye soko huria.
 
Tukupe ajira halafu uwe kinyume nasi!Eti "kujiunga nao," wewe ni nani,sio mmoja wetu?Jitafakari.
MTU wa miaka mitano atampaje ajira MTU aliyelitumikia taifa kwa miaka 30 .
Wanasiasa wanajiona ni watu bora sana na wengine ni watumwa wao.

Tanzania inapotea njia kabisa kwa sababu ya wanasiasa wasiojali taifa zaidi ya vyeo vyao ,maslahi yao,makabila yao na vyama vyao.
 
Acha ujinga, pesa ya serikali ya vocha inatoka wapi?
Pumbavu zenu
Wanachoshindwa kuelewa watu wengi ni kuwa mshahara anaopata mtumishi wa serikali si mali ya serikali bali ni mali ya mtumishi, na serikali haipaswi kwa namna yo yote kufuatilia matumizi ya fedha hizo!!
 
Watanzania wenye simu za mkononi wanafikia 43,621,000 na kati ya hao TTCL ina subscribers 711,411 (1.6%). Serikali ina jumla ya wfanyakazi 800,000. Hata kama wote hawa waki-subscribe kwa TTCL watafikia 1,511,411 (3.4%). TTCL isitegemee itatoboa kwa kubebwa bebwa. Badala yake iandae marketing strategy itakayowawezesha kuongeza market share ili angalau ifikie 20% ndani ya miaka 3 ijayo.
 
Back
Top Bottom