issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,795
- 5,253
Mkutano wa Mkurugenzi wa Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas pamoja na Waandishi wa Habari
>>> Suala kwamba Serikali imeagiza Watumishi wa Umma kuwa na laini ya TTCL si sahihi, Rais Magufuli alikuwa wazi kuwa viongozi wanaohudumiwa stahili ya simu watapewa vocha za TTCL lakini hakuna agizo la ulazima kwa watumishi wengine

