KASHOROBAN
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 859
- 738
Baada ya miezi mi3 itaexpire na hapo ndo utajulikana kuwa wewe ni msaliti na adhabu toka kwa wasojulikana utaipataNitasajili, nakuitunza kwenye mkebe.
Baada ya miezi mi3 itaexpire na hapo ndo utajulikana kuwa wewe ni msaliti na adhabu toka kwa wasojulikana utaipataNitasajili, nakuitunza kwenye mkebe.
Shida ya TTCL kwenye simu ndogo hazisomi zinaleta shida nadhani zinasoma kwenye simu inayoanzia uwezo wa 3G labda kama siku hizi zinasoma simu zoteUnanunua simu ya tochi ya elfu kumi halafu unaweka laini yao pendwa ambayo hutokaa uitumie
Wakiweka vifurushi vizuri kuliko wengine je!!?Ukitaka kuwakomesha....unasajili unaitumia kuanzia saa 1:30 asb - 9:30 alasiri. Baada ya hapo unalizima li line lao unaendelea na line zako zingine
Sio jambo la Ajabu mtu kuwa mzalendo kwa kutumia kilichobora toka nyumbaniMaumivu ya kichwa huanza taratibu....ushahidi huo hapoView attachment 1111675View attachment 1111676
Kwa hiyo wewe unajiona una akili sana? Kama shirika limekuja kutoa huduma hapo ni sawa ,lakini kama limekuja kufanya biashara na kutengeneza faida hii ni ngumu sana kwa shirika uma ,uzoefu unaonesha mashirika ya uma huwa hayafanyi vizuri kwenye biashara ukilinganisha na sekta binafsi.Tatizo liko wapi hapo? Kama tuna nia ya kweli ya Kuliinua Shirika letu la Simu na Kuliwezesha na Kulipa Hadhi yake kuna tatizo gani Wateja wake wengi wakiwa ni Watumishi wa Serikali ambao wanaweza wakawa wanazitumia hizo ' Line ' hasa kwa Shughuli zao za Mawasiliano ili mwisho wa Siku gharama zirudi huko huko Serikalini na hizo Pesa zitumike katika Kuliboresha zaidi Shirika na Faida yake ambayo baadae hutolewa kuwa ' Gawio ' Serikali Kuu iweze Kutumika katika Kufanya mambo mengine ya Kimaendeleo kwa nchi yetu hii? Hivi Watu wengine huko Shuleni au Vyuo Vikuu mlienda Kusoma kweli au Kujifunza tu namna ya Kuvuka Barabara na Kutawaza Maliwatoni?
Unashangaa kitu gani? Mbona ni kitu cha kawaida. Mbona miradi ya USAID kuna circular inasema mfanyakazi wa mradi au USAID lazima ukitaka kusafiri upande ndege za US yaani US flag?? La sivyo utapata audit query!! Usishangae mkuu ni vitu vya kawaida duniani hasa makazini.Maumivu ya kichwa huanza taratibu....ushahidi huo hapoView attachment 1111675View attachment 1111676
Wanasukumwa na wivu na uvivu, dunia ya utandawazi alafu unaleta mambo zama za ujima‘...Watu wachache kwa Maslah yao walikusanyika Zanzibar 1992 na Kuua Azimio la Arusha, Tunataka Rais wa kuja kuhuisha Azimio lile na kila tunapopita Wanyonge wanatuuliza kuhusu Azimio la Arusha ‘- Mzee Joseph Sinde Warioba Kigoda cha Mwl Nyerere 2014
USAID wa Karagwe anapataje ngege ya US, kuja DAR acha porojo dogo, uchumi unakufaUnashangaa kitu gani? Mbona ni kitu cha kawaida. Mbona miradi ya USAID kuna circular inasema mfanyakazi wa mradi au USAID lazima ukitaka kusafiri upande ndege za US yaani US flag?? La sivyo utapata audit query!! Usishangae mkuu ni vitu vya kawaida duniani hasa makazini.
Unashangaa kitu gani? Mbona ni kitu cha kawaida. Mbona miradi ya USAID kuna circular inasema mfanyakazi wa mradi au USAID lazima ukitaka kusafiri upande ndege za US yaani US flag?? La sivyo utapata audit query!! Usishangae mkuu ni vitu vya kawaida duniani hasa makazini.
USAID wa Karagwe anapataje ngege ya US, kuja DAR acha porojo dogo, uchumi unakufa