Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Mandela pia aliitwa Gaidi nadhani wewe wakati huo ulikuwa bado hujazaliwa
HAHAHAAAA YAANI MABAVICHA HUWAGA MNAJIPA MOYO ETI MANDELA HIVI UNAWEZA KUMLINGANISHA HUYO MHUNI MBOWE NA MANDELA AU MDUDE NAYE HUWAGA ANAJILINGANISHA NA MANDELA HIVI NCHI IJE ITAWALIWE NA MDUDE ITAKUWA NI KICHEKESHO CHA KARNE MBOWE HAWEZI KUJILINGANISHA NA MANDELA KAMA AMESHINDWA KUHESHIM KATIBA YA CHADEMA TU YA NCHI ATAIWEZA? GAIDI TU HUYO
 
MBOWE HAWEZI KUJILINGANISHA NA MANDEL
Wakati Nelson Mandela anapigania kuondoa Utawala wa Kibaguzi na Kikaburu, wafuasi wa Wanachama wa African National Congress hawakujali Katiba ya ANC mpaka malengo yao yalipotimia.

Chadema tuko Vitani kuleta mageuzi yatakayoleta Mabadiliko ya kifikra katika jamii yetu ya Watanzania
 
Wakati Nelson Mandela anapigania kuondoa Utawala wa Kibaguzi na Kikaburu, wafuasi wa Wanachama wa African National Congress hawakujali Katiba ya ANC mpaka malengo yao yalipotimia.
YULE NDIYO ALIKUWA MWANASIASA KAMILI SIYO MBOWE YEYE KAZI YAKE MASLAHI TU RUZUKU COVID 19 MPQAKA LEO KWANINI HAWATOKI BUNGENI MBOWE ANAJUWA KILA KITU HALAFU UMUITE MANDELA KUWENI SERIOUS BASI HATA KIDOGO
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Ningekuwa bado sijaoa na Katie Ruge naye hajawaolewa, walahi ningepeleka posa aisee maana huyu dada ni jembe la ukweli!
 
UKITAKA KUAMINI KWAMBA POLISI NA SERIKALI NIA YAO NI MBOWE TUU! MBONA MAANDAMANO HYA HAYAJAKATALIWA WALA KUTAWANYWA..! KWELI HYU BABA YANGU ANA POWER..! POLICC PLEASE!! FREE MAN..😔
 
SIYO MBOWE YEYE KAZI YAKE MASLAHI TU RUZUKU COVID 19
Msimamo wetu CHADEMA kuhusu kudhibiti maambukizi ya Covid 19 uko palepale,

na sasa Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amekubali Chanjo ianze kutumika sasa Wazee wetu na wale wenye Magonjwa Sugu watajikongoja waende kuchanjwa

huo ni Ushindi kwa Nchi yetu, Maelfu ya Wazee na Wagonjwa wamefariki kabla ya kupata fursa hii kwa sababu tu ya Dikteta mmoja Chizi.

Ni Ushindi pia wa Chadema na kilichobakia ni upatikanaji wa Katiba Mpya ya Wananchi itakayotuvusha kwa miaka Hamsini ijayo.
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Jamani Mbowe angeona hawa wamama wanavyomlilia asingethubutu kuiwaibia ruzuku ya chama chao. Kumbe yuko ndani kwa laana ya mambo mengi sana....
 
Msimamo wetu CHADEMA kuhusu kudhibiti maambukizi ya Covid 19 uko palepale,

na sasa Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amekubali Chanjo ianze kutumika sasa Wazee wetu na wale wenye Magonjwa Sugu watajikongoja waende kuchanjwa

huo ni Ushindi kwa Nchi yetu Maelfu ya Wazee na Wagonjwa wamefariki kabla ya kupata fursa hii kwa sababu tu ya Dikteta mmoja Chizi.

Ni Ushindi pia wa Chadema na kilichobakia ni upatikanaji wa Katiba Mpya ya Wananchi itakayotuvusha kwa miaka Hamsini ijayo.
Dikteta wako hujawahi kuacha kumtaja mpaka ujifungue mimba yake aliyokuchia.
 
HUYO MHUNI MBOWE
Steve Biko,Nelson Mandela Walter Sisulu na wenzao wote waliitwa Wahuni Magaidi Vibaka na Majina yote ya kudhalilisha Mwanadamu

Lakini leo hii wote wameingia kwenye historia kuwa walikuwa Mashujaa wa Afrika na sio hawa Machizi wa leo waliolazwa huko Chato.
 
Msimamo wetu CHADEMA kuhusu kudhibiti maambukizi ya Covid 19 uko palepale,

na sasa Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amekubali Chanjo ianze kutumika sasa Wazee wetu na wale wenye Magonjwa Sugu watajikongoja waende kuchanjwa

huo ni Ushindi kwa Nchi yetu Maelfu ya Wazee na Wagonjwa wamefariki kabla ya kupata fursa hii kwa sababu tu ya Dikteta mmoja Chizi.

Ni Ushindi pia wa Chadema na kilichobakia ni upatikanaji wa Katiba Mpya ya Wananchi itakayotuvusha kwa miaka Hamsini ijayo.
KINA HALIMA MBONA WAMEWASHINDA KUWATOA BUNGENI ? HII NI MRADI WA MBOWE NDIYO MAANA WAPO MPAKA SASA
 
Steve Biko,Nelson Mandela Walter Sisulu na wenzao wote waliitwa Wahuni Magaidi Vibaka na Majina yote ya kudhalilisha Mwanadamu

Lakini leo hii wote wameingia kwenye historia kuwa walikuwa Mashujaa wa Afrika na sio hawa Machizi wa leo waliolazwa huko Chato.
NA HAITAWEZEKANA GAIDI KAMA MBOWE AKAWA SHUJAA WA HATA HAPO HAI TU MWIZI GAIDI MLA RUZUKU
 
Hiyo ni dhana tu kama una ushahidi uweke hapa Jukwaani tuuone na tuusome.
SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
 
Back
Top Bottom