Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,110
- 1,475
Kwa heka nitahitaji debe ngapi?
Mbegu zinapatikana wapi hasa?KWANGO CHA MBEGU
Kupanda heka moja zinaitajika kilo 200 hadi 300
MAVUNO
Mavuno ni kati ya tani 5 hadi 6 kwa heka moja.
SOKO
Sokoni Kariakoo bei ni kati ya shilingi 4000 hadi 7000 kwa kilo kutegemea msimu ulivyo.
Kwa ujumla ni bidhaa inayohitajika sana nchini na nje ya nchi.
Vipi soko lake? Ulikutana na changamoto yoyote kwenye kuuzaHaya wakuu naomba mniulize sasa mnataka nini katika hiki kilimo cha vitunguu saumu. Nimeingia field nimelima na nimejionea mengi sana. Ama kweli usisikie ya watu bora uingie front mwenyewe
Ok safi sana,uliwauzia watu gani madalali wa sokoni auHapana kabisaa soko liko wazi wazi mkuu na nililimia Dodoma na vikakubali kabisaa na nikavuna vizuri saana na ni vitunguu ambavyo havina shida kabisaa jamani
Yeah na Kg 1 niliuza kwa Sh 4000Ok safi sana,uliwauzia watu gani madalali wa sokoni au
Safi sana, bado unalima vitunguu swaumuYeah na Kg 1 niliuza kwa Sh 4000
Vip kuhusu gharama mkuu heka moja inakost kiasi gani cha mbegu na ni sh ngapi? Jibu tafadhaliHaya wakuu naomba mniulize sasa mnataka nini katika hiki kilimo cha vitunguu saumu. Nimeingia field nimelima na nimejionea mengi sana. Ama kweli usisikie ya watu bora uingie front mwenyewe