Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

Mwaka sasa hawajaja wazoefu kuongezea maarifa wadau? Tunahitaji ilmu hii tujikwamue. Chonde chonde akina Malila tunawasihi sana mtupe motivation kwa hii
 
Kwa heka nitahitaji debe ngapi?

KWANGO CHA MBEGU
Kupanda heka moja zinaitajika kilo 200 hadi 300

MAVUNO
Mavuno ni kati ya tani 5 hadi 6 kwa heka moja.

SOKO
Sokoni Kariakoo bei ni kati ya shilingi 4000 hadi 7000 kwa kilo kutegemea msimu ulivyo.
Kwa ujumla ni bidhaa inayohitajika sana nchini na nje ya nchi.
 
Kisima,
Hizi bei mmeziona wapi mbona mmeongeza kuliko uhalisia mfano kitunguu swaumu kinauzwa mbegu yake kwa beseni moja ni shilingi 40 mpka 50 nanikipindi cha kilimo mwezi wa pili mpka wa 4 kwa maeneo ya manyara wilaya ya mbulu maeneo ya Bashineti. Kona. Bashai Dongobeshi na baadhi ya vijiji nimevisahau.

Kwa sasa vipo vingi na bei ni kilo ni 2000 mpka 2500 kwa Kitunguu kikali zaidi. Kuhusu tangawiz nzuri Niya Kigoma na bei yake kwa shamban kilo haijafika hata 1500. Sasa ninyi hizo bei mmezitoa wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahanini, mtakapo kuingia katika kilimo mkae mkijua kilimo cha kwenye karatasi kinalipa hakuna mfano. Na kinajenga sana imani ya mtu kuingia katika kilimo.

Ila napenda kuwatahadharisha kuwa fanya uchunguzi wa kina kisha ukishajua changamoto zake hakikisha bajeti ya kilimo husika kuwa pesa yake ipo. Mpaka katika shughuli za uvunaji.

Hakikisha unakuwa na pesa ya ziada mara mbili ya budget halisi la sivyo utajuta kulima.

NB: Soko ni la umuhimu kuzingatia kuliko hata kilimo chenyewe haswa kwa mazao ya perishable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANGO CHA MBEGU
Kupanda heka moja zinaitajika kilo 200 hadi 300

MAVUNO
Mavuno ni kati ya tani 5 hadi 6 kwa heka moja.

SOKO
Sokoni Kariakoo bei ni kati ya shilingi 4000 hadi 7000 kwa kilo kutegemea msimu ulivyo.
Kwa ujumla ni bidhaa inayohitajika sana nchini na nje ya nchi.
Mbegu zinapatikana wapi hasa?
 
Haya wakuu naomba mniulize sasa mnataka nini katika hiki kilimo cha vitunguu saumu. Nimeingia field nimelima na nimejionea mengi sana. Ama kweli usisikie ya watu bora uingie front mwenyewe
 
Haya wakuu naomba mniulize sasa mnataka nini katika hiki kilimo cha vitunguu saumu. Nimeingia field nimelima na nimejionea mengi sana. Ama kweli usisikie ya watu bora uingie front mwenyewe
Vipi soko lake? Ulikutana na changamoto yoyote kwenye kuuza
 
mrangi, Hapana kabisaa soko liko wazi wazi mkuu na nililimia Dodoma na vikakubali kabisaa na nikavuna vizuri sana na ni vitunguu ambavyo havina shida kabisa jamani
 
Hapana kabisaa soko liko wazi wazi mkuu na nililimia Dodoma na vikakubali kabisaa na nikavuna vizuri saana na ni vitunguu ambavyo havina shida kabisaa jamani
Ok safi sana,uliwauzia watu gani madalali wa sokoni au
 
Haya wakuu naomba mniulize sasa mnataka nini katika hiki kilimo cha vitunguu saumu. Nimeingia field nimelima na nimejionea mengi sana. Ama kweli usisikie ya watu bora uingie front mwenyewe
Vip kuhusu gharama mkuu heka moja inakost kiasi gani cha mbegu na ni sh ngapi? Jibu tafadhali
 
Back
Top Bottom