Kumbe Kitunguu Saumu kinalipa hivi

mlogolaje

mlogolaje

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
1,476
Points
2,000
mlogolaje

mlogolaje

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
1,476 2,000
Nawaza nifanye mini maana kila kitu kinalipa
 
Lucky01

Lucky01

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
218
Points
250
Lucky01

Lucky01

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2016
218 250
Jamani naomba mtu ambaye ameshalima kitunguu swaumu snipe ABC zake!!! Km Wapi ananunulia mbegu bora. Madawa yanayotumika, hatua za uupandaji mpk kuvunA, vitu vya kuzingatia ktk hiki kilimo, heka moja inaweza gharimu kiasi gani? Na hiyo heka inaingia mbegu kiasi gani?!!! Ntashukuru kwa Masada wenu
Mbegu kanunue mashamban wanakolima coz za sokon huwa hazioti, kuhusu gharama inategemeana sehem uliopo
 
chobu

chobu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
310
Points
195
chobu

chobu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
310 195
Ndo bei yake. Ila najiuliza kwanin watu wengi hawalimi? Sijaona mchanganuo wake humu. Mungu akisaidia nilipanga mwakani nilime hili zao. Sahivi nakusanya ABC za hii biashara

Nimependa hata mimi nahitaji mbegu kwa hekari moja tu, naomba utaratibu mzima wa upandaji hadi kuvuna
 
Lucky01

Lucky01

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
218
Points
250
Lucky01

Lucky01

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2016
218 250
Nimependa hata mimi nahitaji mbegu kwa hekari moja tu, naomba utaratibu mzima wa upandaji hadi kuvuna
Ekari moja inahitaji around kg 500 ya mbegu,Andaa shamba kwa kutengeneza bustani ambazo ziko flat kwa urahisi wa kumwagilia.Miezi ya kupanda ni miezi ambayo mvua imepungua kuanzia mwezi wa 2-4 inategemeana sehemu ulioko..kuna wazoefu nahisi wao wataongeza....ahsante
 
Mbepo yamba

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Messages
632
Points
500
Mbepo yamba

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2012
632 500
Mwaka sasa hawajaja wazoefu kuongezea maarifa wadau? Tunahitaji ilmu hii tujikwamue. Chonde chonde akina Malila tunawasihi sana mtupe motivation kwa hii
 
Asante

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Messages
2,072
Points
2,000
Asante

Asante

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2009
2,072 2,000
Kwa heka nitahitaji debe ngapi?
KWANGO CHA MBEGU
Kupanda heka moja zinaitajika kilo 200 hadi 300

MAVUNO
Mavuno ni kati ya tani 5 hadi 6 kwa heka moja.

SOKO
Sokoni Kariakoo bei ni kati ya shilingi 4000 hadi 7000 kwa kilo kutegemea msimu ulivyo.
Kwa ujumla ni bidhaa inayohitajika sana nchini na nje ya nchi.
 
Saidy Hamidu

Saidy Hamidu

Senior Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
147
Points
250
Saidy Hamidu

Saidy Hamidu

Senior Member
Joined Mar 9, 2017
147 250
mkuu Red Giant haya mazao mawili; kitunguu saumu na tangawizi kiukweli ukimudu kupata mtaji ukalima na kuhudumia vizuri basi umasikini byebye!!
jiulize tu mbegu ya kupanda ekari1 ya tangawizi ni karibu gunia10: wakati kilo1 cha tangawizi ni sh5000 shambani!!! kadharika Kwa saumu mambo ni yaleyale ngoma ipo kwenye gharama ya mbegu!!
Maadam shamba lenye chanzo cha maji ninalo ngoja nijikongoje kupata mtaji.
Hizi bei mmeziona wapi mbona mmeongeza kuliko uhalisia mfano kitunguu swaumu kinauzwa mbegu yake kwa beseni moja ni shilingi 40 mpka 50 nanikipindi cha kilimo mwezi wa pili mpka wa 4 kwa maeneo ya manyara wilaya ya mbulu maeneo ya Bashineti. Kona. Bashai Dongobeshi na baadhi ya vijiji nimevisahau. Kwa sasa vipo vingi na bei ni kilo ni 2000 mpka 2500 kwa Kitunguu kikali zaidi. Kuhusu tangawiz nzuri Niya Kigoma na bei yake kwa shamban kilo haijafika hata 1500. Sasa ninyi hizo bei mmezitoa wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wasaa9

wasaa9

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Messages
539
Points
250
wasaa9

wasaa9

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2017
539 250
Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000!

Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia kutegemeana na spacing. hivyo utapanda vya Tsh 8m-14m. kinaweza kuzaa mara 5 hadi 8 ya gunia ulizopanda.

Wengi wanasema ni wastani wa gunia 75 kwa ekari. ambazo zinakupa milioni 37.5. inasemekana sehemu yenye kitunguu maji na saumu hustawi.

Naomba wakulima wenye uzoefu huko babati mje mtupe uzoefu wa shambani.
Vinalimwa ukanda gani ?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
449
Points
500
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
449 500
Wakuu samahanini, mtakapo kuingia katika kilimo mkae mkijua kilimo cha kwenye karatasi kinalipa hakuna mfano. Na kinajenga sana imani ya mtu kuingia katika kilimo.

Ila napenda kuwatahadharisha kuwa Fanya uchunguzi wa kina kisha ukishajua changamoto zake hakikisha bajeti ya kilimo husika kuwa pesa yake ipo. Mpaka katika shughuli za uvunaji.

Hakikisha unakuwa na pesa ya ziada Mara mbili ya budget halisi la sivyo utajuta kulima.

N.b: Soko ni la umuhimu kuzingatia kuliko hata kilimo chenyewe haswa kwa mazao ya perishable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

punje haradari

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
585
Points
1,000
P

punje haradari

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
585 1,000
Mkuu Bavaria mrejesho..

Je, ulifanikiwa kulima?
Na ipi experience yako kama ulifanikiwa kulima?
 
900 Inapendeza zaidi

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
1,450
Points
2,000
900 Inapendeza zaidi

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
1,450 2,000
Mwaka sasa hawajaja wazoefu kuongezea maarifa wadau? Tunahitaji ilmu hii tujikwamue. Chonde chonde akina Malila tunawasihi sana mtupe motivation kwa hii
ahahahahaaa wazoefu wako field hawako JF
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
6,318
Points
2,000
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
6,318 2,000
Mambo ya humu wakati mwingine ni kujiongeza tu..ukisubiri mrejesho utachelewa
 

Forum statistics

Threads 1,315,053
Members 505,131
Posts 31,846,577
Top