Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

Mkuu marejesho , vipi kilimo cha hoho, ulifanikiwa? nami nataka kulima hoho. ila ni beginner kabisa kwenye kilimo, naomba unipe uzoefu wako katika zao hili. Nipo maeneo ya Dar. Najipanga kutafuta shamba pembezoni mwa Dar. Ahsante

Niko poa mkuu...Kilimo kinaenda poa kabisa. ..
Nicheck inbox kwakumegeana maujuzi
 
kalimeni kwa wingi ila kumbukeni hatuna kiwanda cha kubadilisha kwenda kuwa unga wa kitunguu swaumu na hatimaye yatawakuta ya wakulima wa nyanya
 
Naomba breakdown ya cost kwa eka ya kuandaa shamba la vitinguu swaumu poa ni mida gani tangu kupanda hadi kuvuna
 
Jamani naomba mtu ambaye ameshalima kitunguu swaumu snipe ABC zake!!! Km Wapi ananunulia mbegu bora. Madawa yanayotumika, hatua za uupandaji mpk kuvunA, vitu vya kuzingatia ktk hiki kilimo, heka moja inaweza gharimu kiasi gani? Na hiyo heka inaingia mbegu kiasi gani?!!! Ntashukuru kwa Masada wenu
 
Mbegu kanunue mashamban wanakolima coz za sokon huwa hazioti, kuhusu gharama inategemeana sehem uliopo
 
Ndo bei yake. Ila najiuliza kwanin watu wengi hawalimi? Sijaona mchanganuo wake humu. Mungu akisaidia nilipanga mwakani nilime hili zao. Sahivi nakusanya ABC za hii biashara
Nimependa hata mimi nahitaji mbegu kwa hekari moja tu, naomba utaratibu mzima wa upandaji hadi kuvuna
 
Nimependa hata mimi nahitaji mbegu kwa hekari moja tu, naomba utaratibu mzima wa upandaji hadi kuvuna
Ekari moja inahitaji around kg 500 ya mbegu. Andaa shamba kwa kutengeneza bustani ambazo ziko flat kwa urahisi wa kumwagilia.Miezi ya kupanda ni miezi ambayo mvua imepungua kuanzia mwezi wa 2-4 inategemeana sehemu ulioko..kuna wazoefu nahisi wao wataongeza, ahsante
 
@Regrann from @kilimochavitunguu - Habari wapendwa
SEMINA YA KILIMO CHA VITUNGUU
Je unahitaji kulima Vitunguu na hujui pa kuanzia? Tutaweza kukupa semina ya mwezi mzima kabla ya kuanza kulima Vitunguu ili uweze kupata faidi kwenye zao hilo.
JIKWAMUE NA KILIMO CHA VITUNGUU kwa kukamata fursa, wewe unayehitaji kujikwamua kupitia kilimo cha vitunguu maji. Tutakupa mwongozo, ushauri na utapata kujua mwanzo mpako mwisho kuhusu ulimaji wa vitunguu maji na jinsi ya kupata mazao mengi. -Utapewa budget nzima ya mtaji wa vitunguuvitunguu
-jinsi ya kupata shamba la kukodi zuri na kiurahisi
-Aina ya madawa ya kutumia kwenye vitunguu
- jinsi ya kuhudumia shamba lako
-mwongozo wa kuuza na kupata wateja kirahisi
-tutakuunganisha na wenye mashamba,vibarua,madalali wa vitunguu na bodaboda waaminifu watakao kusaidia kwenye usafiri utakapo wahitaji(kwa eneo la Ruaha)
-utaweza kupewa ushauri endapo utakwama kwenye kipindi utakachokuwa unalima vitunguu na mengineyo mengi
Kwa sh 35000/= kwa mwezi
Namba 0656384712
Follow @kilimochavitunguu @kilimochavitunguu - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]
 
Kabla hata hamjaenda kote huko mngeanza na jinsi ya kupata masoko. Vitunguu viko vingi sana mtaani, na wakulima wameitikia mwito kwa kiwango cha kuridhisha. Kabla hamjawapeleka wengine mashamba ni, tatueni hili la masoko ya uhakika. Na ikiwezekana, msitoe tu mwongozo, mtoe masoko.
 
Swala la soko ni tatizo la kitaifa kiongozi..ila nimekuja kuona watu wanataka faida ya haraka na kubwa sana ukitumia m 2kutunza Shamba ukiuza magunia 70 ata kwa 55000 faida inarudi 1.8m..ila wakulima wa mjini wanataka milioni 5 faida ndomana wanalalamika soko hamna.na kupata soko unahitaji Ku hustle usafirishe na watu wengi hawana kipato cha kusafirisha
 
Daah tuliambiwa heka 1 ya vitunguu unapata faida ya mil 90.Sa hivi sokoni vitunguu ni vingi kuliko bidhaa yoyote
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom