Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

Jamani watanzania ifike mahali tuache maneno mengi tufanye kazi....mimi kwasasa niko shambani niko nalima japo kwasasa nimejikita kwenye kilimo cha hoho ila mwaka huu nalima tangawizi pia....rai yangu kwa yeyote anayetaka kujifunza aje hapa IGAWA - MBEYA atajifunza mengi sana kuhusu kilimo cha umwagiliaji....hapa watu wanalima sana vitunguu(maji)...japo sijaona mkulima mzuri wa vitunguu swaumu....lakini pia hapa maji yapo mwaka mzima.

karibuni sana tulime kisasa....kilimo kinalipa sana...atakaye taka kuja igawa kujifunza nitampa ushirikiano wa hali ya juu with maximum care and security

mkuu mm nipo mbeya mjini sorry naomba uni PM namba yako na mm nimkulima mzur sana nataka nije kulima igawso ww nataka unipe mwongozo wake
 
Mkuu nitavuna hoho nyekundu na njano mwezi wa saba mwanzoni. ..Please naomba tuwasiliane


Mkuu marejesho , vipi kilimo cha hoho, ulifanikiwa? nami nataka kulima hoho. ila ni beginner kabisa kwenye kilimo, naomba unipe uzoefu wako katika zao hili. Nipo maeneo ya Dar. Najipanga kutafuta shamba pembezoni mwa Dar. Ahsante
 
Red Giant,
Isije kuwa zile habari za laki 3 ukianzisha mradi wa Kuku baada ya mwaka una millioni 10,
au eti Ukichukua Calculeta ukapiga hesabu za kuzalisha mapapi utakua tajiri sana,
Weka kitu real
 
Shark,
Ndiyo maana nimeomba wenye uzoefu wa shambani waje. Cheki PDF kwenye post imejitahidi kueleza.
 
Red Giant,
Nimeiona,
But nimegundua ni document prepared at South Africa hivyo habari za Laki 5 kwa gunia haziko pale
 
Shark,
Nilitaka uone mahitaji ya ekari na mazao unayoweza kuvuna. Kuna mdau humu alisema laki 5 ni rejareja jumla ni laki 3.
 
Hapo ndiyo kupiga hesabu baada ya kusoma hiyo article na kujua mahitaji ya mbegu, mbolea, dawa nk
Sio mbaya nayo, sema sasa gharama za upandaji zikoje??
Ni ngumu kusema moja kwa moja sababu taarifa zinatofautiana kulingana vyanzo vya taarifa. Vitu vikubwa ni mbegu, mbolea na madawa. kwahiyo anaepanda gunia 16 na 28 gharama ni tofauti. anayenunua mbegu jumla na rejareja ni tofauti.
 
Back
Top Bottom